Dada una sura nzurii.....

Weka hiyo picha alioisifia tuone tukupe jibu
 
Kwani sio kweli?? Nimekalia seat ya mbele tu ngoja waje.

Sikuwa najua kama ni kweli au laah, ila tabasamu limenijaa kila nikikumbuka..... dada una sura nzuri.....
 
Ulivosem Ahsante hakusifia pia na sauti yako?.

Hahahahahhahaa sauti wananiambiaga wengine nikizungumza nao kwenye simu, wengine nikiwa mahali pa umma halafu nataka kuuliza kitu kwa mhusika. ... ile nikianza.... excuse me.... where can u find this or that...

Mtu anabaki ananitazama na tabasamu juu hehehhe basi acha niishie hapa.
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani

Usemacho ni sawa kabisa Miss, hata mie huwa nawasifia sana wadada pale wanapokuwa wanahitaji compliments kiroho safi tuu na tabasamu juu.
Tofauti na inavojulikana kuwa wanawake tunaoneana wivu hatupendani tu wanafiki na blah blah kibao. Huyu dada wa migration leo kanipa tabasamu mwanana.
 

Looh hatari hiyo, kama yule afisa wa migration alinitamani kwa kutaka kunisigina looh akae mbali nami. Sijazikifu mboouo bado.
 
Hii thread bila picha ni sawasawa na Story ya kutunga tu...

weka picha tuone hiyo "sura nzuri"

Kasie huwa hatungi ni masimulizi ya matukio yaliyomtukia.
Picha nshaweka hapo juu na si kuwa Kasie ni mzuri au mrembo hapana bali naona yule afisa aliona labda sura yangu na umri haviendani.
Am not that cute, don't exaggerate Kasie is an old granny.
 
Akii we ni mzuri na umri nao bdo hujaenda sana kiivo mpaka usiweze kusifiwa..!! Una macho mazuri mhhh hizo lips bdo pia znalipa... aaah kwa kwa chin bdo cjajua ila nna iman miguu yako sio kama ya watu wa kanda ya kaskazin... kwako Kasie....
 
Huhu ndio MBITIYAZA?
 
Yaani uliondoka unatabasamu njia nzima halafu baadae ndo ukarudi kumwambia asante.... Chai

It's a way of reporting man, I was anxious with the compliment... anyways can't prove anything roo you I just say what happens. If you take it as lye that's an up to you.
 
"Eti ukatabasamu njia nzima hadi home. Ukasema asante halafu ukachukua passport" haya bana

Ungekuwa ushakutana na Kasie na kuona jinsi anavoongea wala usingehamaki.
Talking words.
 
Haya, kama hii picha ni yako, nami nasema MashaAllah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…