Dada uko Vizuri kiumbo na sura.

Kinyozi wetu huyo apo akiwajibika kazini kwake picha ya kwanza na picha ya pili matunda ya kazi yake subili tukija uko Bongo nitakutafuta

NAPITA Ndugu yangu unanitamanisha na mimi nianze mpango wa kutoka humu nchini kama wewe naona unafaidi sana matukio unatupatia ipasavyo hizo picha za kim ni jana tu uko paris safi sana mkuu naona na shem leo umemtupia JF we Noma.
 
Karibu sana Uswis mkuu.
 
mleta mada nani huyo kwenye picha.biyansee?!.....lakini mbona kama kajadalia.?!
 
Hivi huyu haoni kama nguo zimetoboka, au anafanya makusudi!
Enzi zetu tulikuwa tunaita midabwada.

mkuu kwa hiyo kazi na kimini, gia inaweza potea njia :A S-eek::A S-eek:... picha ya chini kapendeza shem wangu.

Alikuwa anakagua vifaa kama bosi lazima ajilidhishe je viko vizuri unajua kwa wafanyakazi wake kufanyia kazi.
 
NAPITA, kuweka picha ya shemeji humu unajitafutia divorce.

Ha!ha! bahati nzuri ni mtu wa hukuhuku Uswis kwa hiyo kidogo huwa apiti piti Humu sana ndo maana niko Uhuru kumtupia lakini angekuwa mbongo weeeeeee subutu.........!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…