Dada Shamimu Mlacha wa ITV

Jaman nawaomba kwa heshima na taadhima muacheni shamimu wangu, hamjui ni kwa jinsi gani ninavyomgharimia
 
Mrembo na anajitahd Sana kusoma news Kwa ufasaha,sio kama Yule Jack news anasoma fasta fasta kama anakimbizwa.
 
Yani mimi taarifa ya habari bila Shamimu siku hyo sitaangalia..nitabadili channel
 
Ana Chura!???

Sura hata mbuzi anayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…