Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Mkeo ?Moyo umelia Paaa!!!, baada y kuona huu uzi
Atakuwa alijua ame R.I.PMkeo ?
Nadhani umekubaliana na uziMoyo umelia Paaa!!!, baada y kuona huu uzi
Tumewaza sawa, ndio maana siku akiwa anasoma taarifa ya habari Itv huwa sitamani kuondoka[emoji39] [emoji39]Napenda sana kumwangalia hasa macho yake, ITV wangekuwa wanamweka daily kusoma taarifa za habari.
Ni hayo tu.
Kwangu kuna panya atanifaa japo ni sumuMke wa mtu uyo.