Dada na sharobaro kwenye daladala

Dada na sharobaro kwenye daladala

By hair

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
141
Reaction score
37
Ilikuwa hivi Jamaa kakaa na dada mkali siti mmoja,sasa si akaanza kumwimbisha kwa Sauti ya chini,demu kimya akawa hajibu,Jamaa kakomaa,dada si akamtolea uvivu kwa Sauti kubwa naomba unikome!jamaa nae pale pale kwa Sauti kubwa akampa we vipi unajamba afu nisikwambie, watu hahahahaha
 
Ha ha ha hapo najua dada ndo alipata aibu.....
 
Umeona ehee,Jamaa alibadilishia kibao hivyo abiria wakajua binti Ndiye mwenye matatizo
 
Kuna jamaa nae alikuwa anamfukuzia demu mmoja anayefanya nae ofisi moja.Yule dada alikuwa mzuri sana na yule kaka alikuwa mstaarabu na smart sana.

Siku moja yule kaka alienda toilet kujisaidia,bahati mbaya alipofungua tu mlango wa choo kile cha ofisi akakuta kuna "mzigo",yaani kuna mtu aliingia kujisaidia akaacha bila kuflash.

Yule kaka kwa u-smart wake alivyoona vile akageuzia pale mlangoni bila kujisaidia.

Bahati mbaya ile anageuka tu kuondoka akapishana na yule dada nae anakwenda chooni kujisaidia!

Yule dada aliporudi ofisini story ikawa ndo hiyo tu.Eti siamini mkaka yule alivyo smart kujisaidia na kuacha "mzigo"wake bila ku-flash.Inawezekana hata kunawa hajanawa.

Ilikuwa noma sana!
 
Back
Top Bottom