Dada na mdogo wake,wagombania mwanaume

Dada na mdogo wake,wagombania mwanaume

BashiriOnline

Senior Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
127
Reaction score
44
Jamani,ukistaajabu Ya Musa,utayaona ya Filauni..

Kuna Jamaa yangu Mmoja,alikuwa na Mahusiano na Demu mmoja hivi..Katika Mahusiano yao,hawakuwa na Lengo la kuoana zaidi ya Burudani tuu..Kwa Bahati mbaya,yule Demu akapata mtu wa mwingine ambaye alitangaza azma yake ya Kumuoa,na kwa Bahati nzuri wakaoana..

Jamaa yangu pindi yupo na Demu wake!Mdogo wake na Demu,naye alikuwa anajirengesha sana kwa Mshikaji.Dada yake alivyoolewa,yule Mdogo wake akawa anajipendekeza kwa Jamaa,jamaa naye uzalendo ukamshinda akaanza mahusiano na Shemeji yake!..

Kwa Bahti mbaya sana,Kule Demu alipoolewa,si mbali sana na Nyumbani kwa Jamaa yangu..Mke wa mtu akawa anamtaka jamaa wawe wanaiba kisela...Jamaa akawa anamtosa sana mke wa mtu kwa kuhofia Skendo ya Mdogo wake!

Siku moja,yule mke wa mtu akaingia kwa Jamaa yangu bila Taarifa kwa lengo aende kumegwa na Mshikaji..Kufika ndani Sebuleni,akamkuta Mdogo wake amemkumbatia Jamaa kimahaba...Mke wa mtu kuona hivyo,akaanzisha Songombingo kwa mdogo wake..Naye Mdogo wake akamwambia kuwa,wewe kwa Sasa umeshaolewa Dada yangu,tuachie sisi tule raha zetu,km unataka kukumbushia,mi nakuruhusu kwa Mashariti wote wawili tusex na Jamaa kwa Wakati mmoja tuu muda huu...Demu kwa kuwa alikuwa anampenda jamaa,ilibidi walale Kitanda kimoja na Jamaa akawamega wote wawili..

Hadi hivi sasa,Jamaa anakamua Mke wa Mtu,na Mdogo wake...Hii imekaaje Wanajamii..Nahitaji maoni,na sio matusi...Nawasilisha...
 
Kweli maadili ya baadhi yetu yamepotoka kiasi kwamba tunaona tendo la ndoa ndio kila kitu katika maisha yetu kiasi kwamba hatuoni hata aibu kujidhalilisha,unawezaje kuchangia mwanaume tena mtungo na ndugu yako wa damu kama si ukichaa?

Huyo mwanaume nae ni mshenzi wa tabia kwa kukubali kuwachanganya wote kwa wakati mmoja,inawezekana kwa baadhi ya watu akaonekana kidume lakini ijulikane kuwa suala la kutembea na mke wa mtu si jambo jema,hivi ni mwanaume gani anayekubali mkewe kumegwa na mwanaume mwingine?Mumewe akijua unadhani itakuwaje?Kuna harufu ya mtu kuumia na hata kifo hapa.

Mwambie huyo rafiki yako aache kabisa kuwa karibu na mke wa mtu na mdogo wake maana hao wote ni machangudoa ambao wanamwangamiza bila yeye kujua.
 
Duuuhhh!Napatwa na wivu kwa jinsi jamaa anavyofaidi.Mwambieni basi na mimi nahitaji huduma kama hiyo;issue hapo ni uwezo tu,route ndevu pumzi inahitajika.Niko fit kwa route ndefu;naomba muwa lengeshe kwangu waone nitakacho wafanyia:becky:.
 
Duu, kuna wanawake wengine wanaolewa ili kuondoa nuksi
 
Kwa jamaa haina noma ila hao mademu kukamuliwa na man mmoja ndio nadhani ni soo.
Jamani,ukistaajabu Ya Musa,utayaona ya Filauni..

Kuna Jamaa yangu Mmoja,alikuwa na Mahusiano na Demu mmoja hivi..Katika Mahusiano yao,hawakuwa na Lengo la kuoana zaidi ya Burudani tuu..Kwa Bahati mbaya,yule Demu akapata mtu wa mwingine ambaye alitangaza azma yake ya Kumuoa,na kwa Bahati nzuri wakaoana..

Jamaa yangu pindi yupo na Demu wake!Mdogo wake na Demu,naye alikuwa anajirengesha sana kwa Mshikaji.Dada yake alivyoolewa,yule Mdogo wake akawa anajipendekeza kwa Jamaa,jamaa naye uzalendo ukamshinda akaanza mahusiano na Shemeji yake!..

Kwa Bahti mbaya sana,Kule Demu alipoolewa,si mbali sana na Nyumbani kwa Jamaa yangu..Mke wa mtu akawa anamtaka jamaa wawe wanaiba kisela...Jamaa akawa anamtosa sana mke wa mtu kwa kuhofia Skendo ya Mdogo wake!

Siku moja,yule mke wa mtu akaingia kwa Jamaa yangu bila Taarifa kwa lengo aende kumegwa na Mshikaji..Kufika ndani Sebuleni,akamkuta Mdogo wake amemkumbatia Jamaa kimahaba...Mke wa mtu kuona hivyo,akaanzisha Songombingo kwa mdogo wake..Naye Mdogo wake akamwambia kuwa,wewe kwa Sasa umeshaolewa Dada yangu,tuachie sisi tule raha zetu,km unataka kukumbushia,mi nakuruhusu kwa Mashariti wote wawili tusex na Jamaa kwa Wakati mmoja tuu muda huu...Demu kwa kuwa alikuwa anampenda jamaa,ilibidi walale Kitanda kimoja na Jamaa akawamega wote wawili..

Hadi hivi sasa,Jamaa anakamua Mke wa Mtu,na Mdogo wake...Hii imekaaje Wanajamii..Nahitaji maoni,na sio matusi...Nawasilisha...
 
Ngoja awapache mimba hapo ndo ataona utamu wa kuitwa baba............................!:confused2:
 
kweli tunatofautiana kiakili jamani
unaona ee, unaweza dhani umepata mke kumbe umejiletea aibu nyumbani kwako. Hivi mymatha jese hauzi nyeti bandia za kike, maana hizi orijino zimefyatuka
 
Duuu hii kali jamaa anajilia mautamu yote mwenyewe ......., Mod badilisha heading sio wanagombania inatakiwa isomeke wanashea dushelele moja...., mmmh bora wangekuwa marafiki mtu na mdogo wake hii imepitiliza.....,siku zinavyozidi kwenda ndio watu wanajitahidi kutenda yasiyofikirika mpaka shetani mwenyewe anakaaa pembeni huku akivibrate kwa mshangao na mshtuko kama kisimu cha mchina...
 
Jamani,ukistaajabu Ya Musa,utayaona ya Filauni..

Kuna Jamaa yangu Mmoja,alikuwa na Mahusiano na Demu mmoja hivi..Katika Mahusiano yao,hawakuwa na Lengo la kuoana zaidi ya Burudani tuu..Kwa Bahati mbaya,yule Demu akapata mtu wa mwingine ambaye alitangaza azma yake ya Kumuoa,na kwa Bahati nzuri wakaoana..

Jamaa yangu pindi yupo na Demu wake!Mdogo wake na Demu,naye alikuwa anajirengesha sana kwa Mshikaji.Dada yake alivyoolewa,yule Mdogo wake akawa anajipendekeza kwa Jamaa,jamaa naye uzalendo ukamshinda akaanza mahusiano na Shemeji yake!..

Kwa Bahti mbaya sana,Kule Demu alipoolewa,si mbali sana na Nyumbani kwa Jamaa yangu..Mke wa mtu akawa anamtaka jamaa wawe wanaiba kisela...Jamaa akawa anamtosa sana mke wa mtu kwa kuhofia Skendo ya Mdogo wake!

Siku moja,yule mke wa mtu akaingia kwa Jamaa yangu bila Taarifa kwa lengo aende kumegwa na Mshikaji..Kufika ndani Sebuleni,akamkuta Mdogo wake amemkumbatia Jamaa kimahaba...Mke wa mtu kuona hivyo,akaanzisha Songombingo kwa mdogo wake..Naye Mdogo wake akamwambia kuwa,wewe kwa Sasa umeshaolewa Dada yangu,tuachie sisi tule raha zetu,km unataka kukumbushia,mi nakuruhusu kwa Mashariti wote wawili tusex na Jamaa kwa Wakati mmoja tuu muda huu...Demu kwa kuwa alikuwa anampenda jamaa,ilibidi walale Kitanda kimoja na Jamaa akawamega wote wawili..

Hadi hivi sasa,Jamaa anakamua Mke wa Mtu,na Mdogo wake...Hii imekaaje Wanajamii..Nahitaji maoni,na sio matusi...Nawasilisha...

Nina mashaka na ufahamu wa hao wote watatu, hao dada wawili na huyo anayewamega! Something is wrong somewhere kwenye akili zao!
 
Mwambie rafiki yako keshalaanika kwa makosa hayo aliyofanya, Kuchezea mtu na mdogo wake ni laana hiyo. Mwangalie tu baada ya mika ijayo, hatakuwa na familia na maisha yake yatakuwa ya hovyo kama atabahatika kuishi.
 
Back
Top Bottom