Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 130
- 252
[emoji16]Sidhani Kama watakuelewa Hawa..[emoji41]
Huyo kwenye picha ni nani.?Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya uzuri , wanaoa kwa sababu una sifa. Jitahid ujifunze na uwe na maarifa ya kutoshaa , juu ya wanaume , kuwa vizuri kitandani tu haitoshii.
Nawasilisha uzi [emoji3577]View attachment 1792648
View attachment 1792657
Unamjua huyo [emoji847][emoji51][emoji851]Kwanini umetumia picha ya jamaa?
Sawa tumesikia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Huyo kwenye picha ni nani.?
Wote [emoji3577]Unazungumzia wanaume au boys?
Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya uzuri , wanaoa kwa sababu una sifa. Jitahid ujifunze na uwe na maarifa ya kutoshaa , juu ya wanaume , kuwa vizuri kitandani tu haitoshii.
Nawasilisha uzi [emoji3577]View attachment 1792648
View attachment 1792657