Dada muonee huruma shemeji

Haha atakuwa na kaugonjwa kitaalam kanaitwa 'Hypersexual disorder' anahitaji ushauri
 
Kamkanye huyo shemeji yako pia ongea na kaka yako kuhusu huyo shemeji.

Pia acha kuingilia ndoa ya ndugu yako.. Pambana na hali yako.
Kaka yangu yupi tena?
 
Sina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.

Familia yenu ina matatizo makubwa zaidi ya huyo shemeji yenu.
Umekurupuka sana pole
 
Kuna binadamu wapo kusindikiza wengine huyo anatusindikiza mwacheni.
 
Hahahaha dogo umekula cha arusha nn? Uzi umeleta mwenyewe alafu unapanic tena. Jibu maswali kistaarabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesharanduka nisamehe bure
 
Ingependeza zaidi kama familia nzima mgetafuta nasaha jamii kutoka kwa mtaalamu wa afya ya akili.
Unaonekana ni mshauri mzuri sana, ila tatizo lako jeuri, ushauri wako ni muhimu pia, tiririka tafadhali, unafikiri anahitaji mtaalam wa afya ya akili kati ya dada yetu na mume wake?
 
Umekurupuka wewe unayeleta habari za kaka yako mliyemshindwa kwenu kwa umbea hapa JF.
Sio za kaka ni dada na shemeji, ndio maana nasema umekurupuka hujasoma ukaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…