ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Hawa dada wengine utafikiri wanataka kuolewa wao na kaka zao.
Mtu kaka yako ana matatizo kwenye ndoa yake, badala ya kufanya vikao vya familia myamalize katika familia, unaleta JF.
Kama si umbea ni nini?
Kama mnamuogopa kaka yenu wenyewe matatizo yenu makubwa kuliko huyo shemeji yenu.Ndio tunamwogopa, unataka atufanye nini?
Sina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.Uje ujaribu uone moto wake
Sasa kama kaka yenu hawezi kuwasikia unaleta habari hapa ili iweje?Alimpokea akiwa HIV + na yeye hana, unategemea tumshauri nini atusikie?
Best haya mapazia ama mageti tunayoyaona tukiwa tunapita huko mjini kwenye nyumba yanaficha mengi sanaAisee huyo shemeji yako sio wa anga hii. Na hayo yake ni yale mahaba niue.
Ila yote kwa yote kama ni kweli huyo dada yako anahitaji washauri aisee sababu sio kwamba anamkomoa shemeji yako pekee bali na yeye pia anaidhohofisha afya yake kwa ngono za mara kwa mara tena na huku anao mmh.
Sema hao ndugu wa huyo dada wanataka kuolewa na shemeji yaoHawa dada wengine utafikiriwanatakakuolewa waona kaka zao.
Mtukaka yako ana matatizokwenye ndoa yake, badala ya kufanya vikao vya familia myamalize katikafamilia, unaleta JF.
Kama si umbea ni nini?
Mwenye matatizo dada yao wala sio kakaNendeni mkamsaidie kaka yenu, mwambieni hayo yote. Hapa JF mnaleta umbea tu
Wacha kabisa best na lait siku moja ikatokea zikazungumza hapatatosha sababu hatutaweza kuangaliana mara mbili kwani yaliyomo mengi ni mazito mno.Best haya mapazia ama mageti tunayoyaona tukiwa tunapita huko mjini kwenye nyumba yanaficha mengi sana
Alilogwa akalogeka inatisha sanahuyo shemeji yako amelishwa unga wa ndere
Anayebwabwabwaja nduguye mwanamke.Ni umbea mkuu, angekua anajielewa badala ya kuja kubwabwaja huku angekaa na wanafamilia kuokoa hiyo ndoa ya kaka yake!!
Hivi mlalamikaji ni ndugu wa mume au ndugu wa mke? Nitakuwa sijaelewa vizuriSina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.
Familia yenu ina matatizo makubwa zaidi ya huyo shemeji yenu.
Bila shaka muhusika ni wewe, naona dawa imekuingia pole sana.Sasa kama kaka yenu hawezi kuwasikia unaleta habari hapa ili iweje?
Mimi mzima my best ..nmetaka nkusalimie vizuri kule si nmekutana na [emoji357]Wacha kabisa best na lait siku moja ikatokea zikazungumza hapatatosha sababu hatutaweza kuangaliana mara mbili kwani yaliyomo mengi ni mazito mno.
Mzima lakini?
Kaongeeni na kaka yenu.
Hapa JF itakuwa riwaya au uzushi tu.