Dada mmoja aliniuliza

Dada mmoja aliniuliza

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638
Dada mmoja aliniuliza, hivi kuna mwanaume kweli ambaye hachepuki! Nilimuuliza kwanini unasema hivyo akaniambia kuwa mume wake amekua msiri sana, simu yake kaweka Passwed anashindwa kujua kuwa anachat na kina nani? nilitulia kidogo kisha nikamuuliza “Mbona hulii wakati kuna msiba?” Alishangaa na kuniuliza msiba wa nani?

Nilitoa simu yangu na kuingia Facebook, kisha nikaandika R.I.P nika search kisha zikaja picha za watu wengi ambao walifariki sioku ile na zamani. Nilimuonyesha moja wapo tena ya katoto kazuri, nikamuambia unaona haka katoto kamefariki mbona hulii. Aliniambia nitaliaje wakati sikafahamu, nikamuambia lakini kamefariki, akaniambia sawa ila sikajui ningekua najua basi ndiyo ningeumia.

Nikamuambia ni kweli, watu tunaumizwa na vitui mabavyo tunavijua na si vile amabvyo hatuvijui, tumaumizwa na misiba ya watu wa karibu kwakua tunawajua na tunajua imetokea, lakini kila siku kuna watu mamilioni wanakufa ila hatulii. Nikamuambia hata wewe mume wako, inawezekana anachepuka lakini kama wewe hujui basi huwezi kuumia kwakua ni msiba usio kuhusu, atachepuka huko weee lakini akirudi hujui unaona kawaid aunafurahia maisha.

Nikamuambia, kama unataka kulia kila siku basi fuatilia simu yake. Utajua anachepuka na kila akitoka utakua wewe ni mtu wa kulia kwakua tu unajua anachepuka, nikamuambia hiyo ni misiba ya watu itakua inakuliza kila siku. Subiri ulie na msiba wako, lia akikuletea mwanamke mwingine ndani, lia ukiona picha, lakini kama anaficha ukichunguza ni kama kwenda kutafuta misiba ambayo haikuhusu!

Aliniambia lakini kuna magonjwa, nilimuuliza hivi kama ukimfumania uanweza kumaucha, akajibu hapana, unaweza kumlazimisha kutumia condom akasema hapana, nikamuambia kwahiyo unataka nini sasa! Akasema nataka nijue tu, nikamuambia ukishajua! Alibaki kimya, nikamuambia dada yangu kama huwezi kumaucha, huwezi kulazimisha condom basia cha kuchunguza, acha kutafuta misiba na visirani ambavyo havikuhusu, kama hakuonyeshi anayofanya huko duniani hayakuhusu ni misiba ya watu usiikalie matanga!
 
hivi ndivyo kuishi nao kwa Akili Mkuu
 
Wanawake wengi pia in wachepukaji wazuri .. Ila huwa wanapenda kwanza watafute sababu.. Yaani akishajua tu mmewe anachepuka ndio na yy anachepuka yaani analipiza... Ndio maana kutwa kuchunguza simu za wanaume wao
 
Da aisee mleta uzi nimekuvulia kofia hapo mwanamke lazima awe mdogo kama piriton au mbegu ya mchicha
 
Dada mmoja aliniuliza, hivi kuna mwanaume kweli ambaye hachepuki! Nilimuuliza kwanini unasema hivyo akaniambia kuwa mume wake amekua msiri sana, simu yake kaweka Passwed anashindwa kujua kuwa anachat na kina nani? nilitulia kidogo kisha nikamuuliza “Mbona hulii wakati kuna msiba?” Alishangaa na kuniuliza msiba wa nani?

Nilitoa simu yangu na kuingia Facebook, kisha nikaandika R.I.P nika search kisha zikaja picha za watu wengi ambao walifariki sioku ile na zamani. Nilimuonyesha moja wapo tena ya katoto kazuri, nikamuambia unaona haka katoto kamefariki mbona hulii. Aliniambia nitaliaje wakati sikafahamu, nikamuambia lakini kamefariki, akaniambia sawa ila sikajui ningekua najua basi ndiyo ningeumia.

Nikamuambia ni kweli, watu tunaumizwa na vitui mabavyo tunavijua na si vile amabvyo hatuvijui, tumaumizwa na misiba ya watu wa karibu kwakua tunawajua na tunajua imetokea, lakini kila siku kuna watu mamilioni wanakufa ila hatulii. Nikamuambia hata wewe mume wako, inawezekana anachepuka lakini kama wewe hujui basi huwezi kuumia kwakua ni msiba usio kuhusu, atachepuka huko weee lakini akirudi hujui unaona kawaid aunafurahia maisha.

Nikamuambia, kama unataka kulia kila siku basi fuatilia simu yake. Utajua anachepuka na kila akitoka utakua wewe ni mtu wa kulia kwakua tu unajua anachepuka, nikamuambia hiyo ni misiba ya watu itakua inakuliza kila siku. Subiri ulie na msiba wako, lia akikuletea mwanamke mwingine ndani, lia ukiona picha, lakini kama anaficha ukichunguza ni kama kwenda kutafuta misiba ambayo haikuhusu!

Aliniambia lakini kuna magonjwa, nilimuuliza hivi kama ukimfumania uanweza kumaucha, akajibu hapana, unaweza kumlazimisha kutumia condom akasema hapana, nikamuambia kwahiyo unataka nini sasa! Akasema nataka nijue tu, nikamuambia ukishajua! Alibaki kimya, nikamuambia dada yangu kama huwezi kumaucha, huwezi kulazimisha condom basia cha kuchunguza, acha kutafuta misiba na visirani ambavyo havikuhusu, kama hakuonyeshi anayofanya huko duniani hayakuhusu ni misiba ya watu usiikalie matanga!
Attrative fantastic & adiviace...!! Hapao jirani hakuna bar uagize bia nakuja kulipa right now
 
Ujue inabidi tufahamiane maana wewe ni sweetheart wetu kinondoni

mpuuzi mpuuzi tu
 
Hii mada imetokea kupendwa zaidi na upande mmoja wa shilingi. Ila huo ndiyo ukweli. Kumfuatilia mwanaume, ni kujitafutia tu kilio cha kila siku. Na bahati mbaya huwa hatupendi kabisa kufuatiliwa maana hatuchelewi kufanya kweli.
 
Ni kweli kabisa, hii iwafikie wote waume kwa wake wenye hivyo viherehere.
Usilolijua ni kama usiku wa kiza.

Be you.
 
Back
Top Bottom