Habari zenu ,kuna dada mmoja ana mtoto mlemavu, mwanaume amemkataa kisa amezaa mlemavu, sasa amehangaika amesomea mipango miji,. Anahangaika kutuma maombi ya ajira sehemu mbalimbali, lakini amekosa , na anapata changamoto kumlea mtoto , anaomba msaada wa kazi yoyote aweze kujihudumia yeye na mwanae