Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe![emoji7][emoji7][emoji7]
Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble.
Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 2058751