Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa kwa sasa am working as sales executive wa kampuni flani na kulipwa kwa commission.....kazi ambayo nimeipata kupitia kumjua mtu anaye mjua mtu. Naombeni msaaaada wadau....tena wa dhati.
 
mwaka mmoja bado sana watu tulikaa miaka 3 ila kazi ni bahati na kujuana kama humjui mtu na huna connection inabd utafte hata marafiki ambao baba zao ni vibopa hapo unaweza kupata kirahisi apllication tu utakaa sana uckate tamaa endelea kuomba
 
Kama uko sales kwenye kampuni nzuri ningekushauri kubaki hapo kuna opportunity kubwa zaidi kwenye sales. Kama kweli unaweza kusell lakini.
 
Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa kwa sasa am working as sales executive wa kampuni flani na kulipwa kwa commission.....kazi ambayo nimeipata kupitia kumjua mtu anaye mjua mtu. Naombeni msaaaada wadau....tena wa dhati.
mwantumu mahiza amesema vijana hata kama mmesoma msisubiri kazi za maofisini na akashauri muanzishe miradi ya kufuga kuku itawalipa sana.
 
Usikate tamaa ingia jf, brightermonday.com,kituo cha ajira akiba au mikoani. Soma daily news na guardian, na gogo mitandao mingine.have interview guides na have perseverence.mwonekano. Demonstrate your ability and skill.tengeneza cv vizuri.cover letters.tafuta wataalam.accept wide variety of job hata marketing.all da best
 
Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa kwa sasa am working as sales executive wa kampuni flani na kulipwa kwa commission.....kazi ambayo nimeipata kupitia kumjua mtu anaye mjua mtu. Naombeni msaaaada wadau....tena wa dhati.

Be creative ndugu, think outside the box, ukisubiri kuajiriwa utakufa njaa, hilo ndo tatizo la mfumo wetu wa elimu, tunafundishwa kuajiriwa!!!!!!!!!!
 
Kaka pole sana hoja si interviews..mimi binafsi nimeshafanya interviews zaidi ya 7 hivi...lakini sijafanikiwa na nina experience ya kutosha ...na kingereza nakijua sana tu na confidence ya maana....imefikia wakati nikiitwa interview nafikiria mpaka kutokwenda koz nahisi ni changa la macho tu...sijui tunafanyaje hapa...
 
Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.
 
duh!kaka,uko seriouz kweli?me nlitegemea sie mangwini ndo tunasota,kumbe hadi nyie?
 
Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.

Anzisha Electrical (Installation)Company ili ujiajiri mwenyewe! Hapa utawapa pia ajira wengine!
 
Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.

samahani mkuu associate ya Nursing ni nini hiyo?
 
unaweza kujikuta unauzooefu mkubwakwenye interviwer kuliko kazi/taaluma uliyonayo.chamsingi ni kukomaa ukiwa hapo job anza kuangalia namna ya kuanza kujiajir ili na wewe uajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom