The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Umetuma sh ngapi tukuchangie mkuu?Kwema wakuu
Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei.
Ngoja nifanye mambo mengine tuu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Afu tatu hiyo...Umetuma sh ngapi tukuchangie mkuu?
Ngoja tuone au aseme ya mkoa gani to mkoa ganAfu tatu hiyo...
Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei.
jikaze dogo kwa 10k bado unasafari ndefu sana
Pole sana ila hiyo ipotezee asume umebet ikaliwa.