Daah!!! Kweli tindikali mbaya.

ulaya wameshindwa kumtoa ngozi ya mapajani au makalioni na kumuwekea usoni ili abakie na ngozi yake mororo,umasikini usiuombee kabisa aisee
 
loo pole yake, si sijui kamchukua mume wa mtu,mwenye mali kamfanyizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…