DAAH...Inatia Hasira .. kwa mfano lkn..

DAAH...Inatia Hasira .. kwa mfano lkn..

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Kwa mfano umepata mpenzi mpya unaona ujikakamue umtoe out,umempeleka sehemu ya kifahari anakula vyakula vya bei, anakunywa vizuri ..Hatimaye unafika muda wa kuondoka, anakwambia kuwa atalazimika arudi kwao maana baba yake ni mkali, mwanaume unaanza kujichekelesha pale una hela yako ya banka unampa akalipie tax hadi kwao alafu mfukoni unabakiwa na shilling mia taraaa (500/=) kwaajili ya daladala za kwenda kwako,Unamuaga kwa kumdanganya kuwa kuna biznes ptna yupo jirani unaenda kudiscuss nae mambo yenu ya kazi kumbe unapiga chochoro kuelekea stendi ukapande gar ya kwenda kwako..umefika stand unawait daladala ,Hatimae Gari linafika unaingia ndani na kwa mshangao unamkuta mpenzi nae kumbe kaminya mkwanja kaamua kupanda daladala, Unafanyaje?
 
hiki kisa umetunga hapa hapa ama?
 
mbona simpo2 we si MTANZANIA??huwezi shindwa kujitetea
 
]Kwa mfano[/COLOR] umepata mpenzi mpya unaona ujikakamue umtoe out,umempeleka sehemu ya kifahari anakula vyakula vya bei, anakunywa vizuri ..Hatimaye unafika muda wa kuondoka, anakwambia kuwa atalazimika arudi kwao maana baba yake ni mkali, mwanaume unaanza kujichekelesha pale una hela yako ya banka unampa akalipie tax hadi kwao alafu mfukoni unabakiwa na shilling mia taraaa (500/=) kwaajili ya daladala za kwenda kwako,Unamuaga kwa kumdanganya kuwa kuna biznes ptna yupo jirani unaenda kudiscuss nae mambo yenu ya kazi kumbe unapiga chochoro kuelekea stendi ukapande gar ya kwenda kwako..umefika stand unawait daladala ,Hatimae Gari linafika unaingia ndani na kwa mshangao unamkuta mpenzi nae kumbe kaminya mkwanja kaamua kupanda daladala, Unafanyaje?

hiki kisa umetunga hapa hapa ama?
mkuu rejea blue ...ni kwa mfano tuu
 
nashindwa kukujibu coz hadi mmepanda gar moja ina maana mnaakaa karibu au sielewi hapo mkuu
 
Kulingana na maelezo yako ni wazi kuwa daladala ya kwenda kwako na kwa huyo msichana ni route ile ile.

Kwa nini tokea awali hukutaka ku-share taxi na huyo mpenzio??

Make up stories hizi mnapozileta muwe mnafikiria kwa kina namna ya kutuokota...
 
nashindwa kukujibu coz hadi mmepanda gar moja ina maana mnaakaa karibu au sielewi hapo mkuu

Huo ndio ukweli mkuu, huyu anatushika masikio tu hapa.

Kisa chake kinakosa uzani wa kimantiki
 
nashindwa kukujibu coz hadi mmepanda gar moja ina maana mnaakaa karibu au sielewi hapo mkuu
njia moja ila sehaem tofaut kwa mfano mpo posta kwako mwenge kwao kimara ..unapita morogoro road... yy kapandia posta wewe umepandia baridi..
 
njia moja ila sehaem tofaut kwa mfano mpo posta kwako mwenge kwao kimara ..unapita morogoro road... yy kapandia posta wewe umepandia baridi..
 
ww km wewe mtanzania kweli ungechukua action gani hapo??

japo swali langu hujajibu lakini ikitokea kama ulivyoandika mim ningetumia uanaume ningemuuliza vipi mbona uko huku???nmekuona unapanda nikaona si vibaya tupande wote(Huku unakaa vizuri kwenye siti) alaf unamwambia kiutani akulipie nauli vingne malizia mwenyewe
 
njia moja ila sehaem tofaut kwa mfano mpo posta kwako mwenge kwao kimara ..unapita morogoro road... yy kapandia posta wewe umepandia baridi..

Angalia unavyoendelea kujimiksi zaidi...

Posta - Kimara
Posta - Mwenge (Mkanda Mwekundu)

Mwanamke anaishi Kimara, mwanaume anaishi Mwenge.

Hebu nieleze mnaweza vipi kupanda basi moja hapo? (maana naona umeeleza habari za kupandia Baridi).

Kumbuka sharti moja kuwa mwanaume ana shilingi mia tano tu...
 
Msameheni walipewe homework ya insha na shule iko karibu kufunguliwa. Haya yote yataisha mda si mrefu
 
Kwani hapo shida ipo wapi? Kila mmoja ashukie kituo chake na aibu zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom