Daaah nimekwama....!!!!

Usiwaze. Nakutumia dictionary ya Kinyarugwanda mda c mrefu!
=======================================================
Hiyo hapo...
Hapo jimwae mwae mpaka mtoto aingine kingi...
==============================
Dah imegoma. Sijui ni net inazingua au file ni kubwa? Anyaways, great thinkers has many alternatives.

Kula hiyo ya online

Kinyarwanda-English Dictionary
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Angalizo:
Endapo utafanikiwa kung'oa huyo mtoto basi hakikisha unafanya nae kazi kwa weledi kwa sababu utakua unaliwakilisha taifa letu, tafadhali sana usituangushe mkuu watanzania tunakutegemea.
 
niliandika ninachokijua. Sijakulazimisha ujibu.kama wewe unajua andika kilicho sahihi. Punguza ushamba dia.
Hapo nilipoandika 'Hujui Kinyarwanda' sikuwa namaanisha wewe ila ni tafsiri ya maneno Ntakinyarwanda Uzi! ya huyo wa upande wa pili alikuwa anamwambia mwenye hiyo message baada ya kuona anamjibu kwa kiingereza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…