duuuuu!naamini hata namba hukumuomba kama ulivyokuwa unafikiria!!Kuna dada nipo nae kwenye hiace(maarufu kama daladala kwa Dar) hapa amenishangaza sana
'
Kuna dada mmoja kampigia simu kisha akawa anazungumza nae,ameonekana kama anamponda yule aliempigia simu,hicho ndo kilichonifanya nimuulize dada huyu kulikoni
'
Akaniambia amechoshwa na huyo rafikie,kila siku anatendwa lakini hamuachi kisa eti anampenda na akitendwa anamletea yeye mashitaka
'
Nikamuuliza kwani yeye hana mpenzi?
'
Akaniambia hana muda mchafu,kwani kama mtu yoyote anataka amchukie basi amtamkie mambo ya mapenzi,akasema nyumbani kwake ana ile midoli ya umeme na inamridhisha!
'
Khaaa!Nimeduwaa mpaka ameshuka nimeshindwa kuendelea na maswali!
Yaani dada ukutane naye kwenye daladala akwambie yote hayo mpka ya midoli,minaomba nishukie hapa.

Kuna dada nipo nae kwenye hiace(maarufu kama daladala kwa Dar) hapa amenishangaza sana