Ofcourse Tanzania wanawake wazuri ni wa kawaida bwana kwa kuwa in general watanzania ni wazuri na hakuna comparison ya mzuri kwa mbaya bali nani mxuri zaidi kwa majority ya wabongo !shida tu hizi ndio unaona wengine hawavutii!Wakawaida saanaa
Dah..... Na wakatikati?[emoji87]Huyo mwingine ni wa Lissu
Tumewekewa picha tumjadili mtu..tunamjadili wengine hamtaki.ulitaka awe na miguu ya kihaya wakati ni mmeru? yani kuna watu mna ukabilaaa embu weka picha yako na kabila lako tukuone
sio mzungu huyo, ni Jaji mstaafu huyoNaona binti mdogo, mama mtu mzima na mzee wa kizungu
WEWE UZURI WA MKE NI MUONEKANO TU NDIO PICHA YAKO UMEWEKA YA POGBA!! NINGEPENDA KUMUONA MKE WAKO!!! UTAKUWA NA SHIDA SANA KICHWANI NA KATIKA SUALA ZIMA LA UCHAGUZIPovu linakutoka unashindwa kuelewa simple statement. Hapa imewekwa picha, watu wanajadili muonekano tu, wengi hawamjui. Nimesema kawaida kwasababu una kichwa kizito nakufafanulia KAWAIDA KIMUONEKANO.
Bwana mdogo jifunze kuelewa context. Hapa imewekwa picha. Watu wanajadili muonekano. Uwezo wake kichwani anaujua mume wake na wewe sijui nani yake.WEWE UZURI WA MKE NI MUONEKANO TU NDIO PICHA YAKO UMEWEKA YA POGBA!! NINGEPENDA KUMUONA MKE WAKO!!! UTAKUWA NA SHIDA SANA KICHWANI NA KATIKA SUALA ZIMA LA UCHAGUZI
nakajua ni ka andunje sio kamodo wa niniTuma yako tuthibitishe we nimodo
hahahaKushoto![emoji28][emoji28][emoji28]
u sure?Huyo mwingine ni wa Lissu
wakatikati na yeye ni mke?Dah..... Na wakatikati?[emoji87]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu tunajua kwamba hujui kusoma, basi hata picha huoni [emoji1]
Itakuwa wote hao basiNaona binti mdogo, mama mtu mzima na mzee wa kizungu