Daaaaah huyu mtu jamani mweeeeeh

Mda mliotumia kumpiga picha kwa nini msimwokoe,naamini ata MTU akiwa anabakwa mtamwacha abakwe ili mumpige picha
 
Yaonekana alikuwa anaupanda ukingo wa hiyo barabara, ghafla ukamomonyoka na kumzamisha. Dereva wa boda boda jamani, mbona shidaa
 
Sio edit ila sio unavyofikiria kwa kuona hyo picha vile vile hata wewe ukichukua viati ukavining'iniza kichwa chini miguu huu kwenye fimbo kisha hiyo fimbo ukaifukia na kuset mazingira vizur utaachieve hiyo illusion


Kwa hiyo jib ni hapana sio edit ni picha iliopigwa katija controlled enviroment ili kutengeneza illusion
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…