D9 ndio Habari Kagame looo

D9 ndio Habari Kagame looo

Aisee hali ni tete sana ,furaha yangu nikwamba this time tunakwenda kuyashuhudia machozi ya CCM,hilo ndilo kubwa watake wasitake nizamu yao
 
Hii sio sawa. Punguza ukali wa Maneno bosi. Yule ni Bibi, Mama na mke wa mtu.
Nguvu ya mtandao Chief, wakidandiwa ndiyo Mama zao wanaanza kulia unajua mwanangu namtegemea, alikuwa hajui anachofanya. Waache waendelee kufuata mkumbo na kujipa uhodari wasiokuwa nao.
 
Hapa ndio umuhimu wa kuwa na majasusi. Kitendo cha kukosa majasusi nchi itakiwa kama kariakoo
Nchi vitengo vyote wamejaa chawa, hakuna kijengo chochote cha kijasusi ambacho ni credible na reliable TZ kwa sasa.
Imagine polisi walidai hakuna hata mtu mmoja aliyeuawa kwenye maandamano then wakadai walioandamana siyo Watanzania bali ni foreigners lakini waliowakamata ni raia wa Tanzania, zero brain police officers na hiyo ndiyo caliber ya officers wanaopaswa kulinda nchi kiintelijensia. Aibu tupu.
 
Majasusi wazuri walikuwapo, even kipind cha jk, after that akaja jpm uvccm wengi wakaingizwa kwenye taasis, now taasis inagugumia

Katiba mpya wa state kabisa that politician yoyote hatoweza kuvuruga au kupenyeza interest zake kwa taasis za ulinzi na usalama
Enzi za Mchonga ndipo walipikwa na vetting ilikuwa ya uhakika, hata baada ya kustaafu hakukubali kabisa kitengo kinajisiwe plus behind the curtains alikuwa bado anahakikisha kinafuata njia sahihi.
Strictness ya vetting na recruitment ilianza kulegea baada ya Mkapa.
 
Hii nchi ishakuwa najisi
sijui kwanini haya yanatokea na bado sioni njia yoyote ya serikali kuja na muafaka

Je wanasubiri mpaka 9dec ipite ndo waje na solution?

Au wanataka nini kwanza kitokee ndo wawajibike?
Huu ni mtego!
 
Kumwingiza Kagame kwenye hizi issue mnapoteza dira, wahusika wanajulikana, focus
 
Hii sio sawa. Punguza ukali wa Maneno bosi. Yule ni Bibi, Mama na mke wa mtu.
Apunguze kwanza kutuma watu kulawiti wale wanaowateka, naamini ulisikia activists wa Kenya na Uganda walichofanywa na Mafwele pamoja na timu yake.
Mtekaji na muuaji hastahili heshima, kwanza unajua kama hii forum ameifungia?
 
How mkuu?
Watu wamejiandaa vyakutosha sana .

Makosa mengi yamefanyiwa kazi .

Watu wamepunguza kama siyo kuondoa kabisa ustaarabu waliyowahi kuwa nao kwa serikali yao.

Watu wamejawa na visasi vinavyozitoboa ndoto zao.
 
Back
Top Bottom