D9 ndio Habari Kagame looo

D9 ndio Habari Kagame looo

mager6

Senior Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
149
Reaction score
226
Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza

Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia point.

Aidha jeshini, Gen Z au hata polisi. Hataacha nawaambia. Chukueni tafadhari. Kwetu kama SMG ipo Arusha risasi ziko mtwara basi tuweni makini sana
 
Hapa ndio umuhimu wa kuwa na majasusi. Kitendo cha kukosa majasusi nchi itakiwa kama kariakoo
 
Jeshi la tz ni wangese wakubwa plus teeth! Manyokoooo zao including djs na cdf4 wao

Hawajui hata dhamana waliyopewa kwenye kulinda hili taifa (watanzania na rasilimali zake), yaani wamekuwa walamba mataccoss ya samuya!
 
Hapa ndio umuhimu wa kuwa na majasusi. Kitendo cha kukosa majasusi nchi itakiwa kama kariakoo
Majasusi wazuri walikuwapo, even kipind cha jk, after that akaja jpm uvccm wengi wakaingizwa kwenye taasis, now taasis inagugumia

Katiba mpya wa state kabisa that politician yoyote hatoweza kuvuruga au kupenyeza interest zake kwa taasis za ulinzi na usalama
 
Hizi Ni propaganda za Samia na Kikwete ili waue watu Tena east Africa hakuna rais wenye ubavu wa kuingia kwenye nchi nyingine bila ridhaa ya Rais wa nchi hiyo
 
Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza

Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia point.

Aidha jeshini, Gen Z au hata polisi. Hataacha nawaambia. Chukueni tafadhari. Kwetu kama SMG ipo Arusha risasi ziko mtwara basi tuweni makini sana
Sio rahisi kiiivyo uyo kimbao mbao mna mpa sifa tu labda kama ana taka rwanda iwe wilaya ndani ya t within 48hrs , kama ni ivyo m7 angesha nyakua kenya zamani sana kupitia maandamano yao
 
Majasusi wazuri walikuwapo, even kipind cha jk, after that akaja jpm uvccm wengi wakaingizwa kwenye taasis, now taasis inagugumia

Katiba mpya wa state kabisa that politician yoyote hatoweza kuvuruga au kupenyeza interest zake kwa taasis za ulinzi na usalama
Unamsingizia tu JPM,aliyeharibu hiyo TISS ni huyohuyo JK,na Kagame anamtafuta vibaya mno
 
Naona watu mnaingia kwenye 18 za Serikali za kuwapa Sababu na Excuses za kufanya watakachofanya....

Always kwenye habari yoyote jiulize habari hii inamnufaisha nani, ukifanya hivyo utaiangalia kwa jicho la tatu....

Script za Mamlaka huwa ni zilezile hakuna jipya chini ya Jua
 
Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza

Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia point.

Aidha jeshini, Gen Z au hata polisi. Hataacha nawaambia. Chukueni tafadhari. Kwetu kama SMG ipo Arusha risasi ziko mtwara basi tuweni makini sana
Ndo mkome kuweka wa Zanzibar tiss waislam wapi na wapi na elimu pia mkome kuweka nafasi nyeti kama ya urais kila mtu tu...
 
Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza

Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia point.

Aidha jeshini, Gen Z au hata polisi. Hataacha nawaambia. Chukueni tafadhari. Kwetu kama SMG ipo Arusha risasi ziko mtwara basi tuweni makini sana
If it'll take PK to remove the SHE DEVIL from the throne so be it, hakuna kiumbe asiyefaa na wa hatari zaidi ya Samia duniani kote.
 
Back
Top Bottom