LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
wakuu kuna kitu inanitatiza naomba msaada wenu plz.kuna hizi gari zenye mfumo wa d4 au gdi pump zimekuwa gumzo i sana hapa kwetu tanzania kutokana na mfumo zinaotumia.hili bila kubisha nenda kwa fundi yoyote yule ukimwambia nataka kununua gari yenye engine ya d4 au mitsubish gdi hakuna atakaye kushauri zaidi ya kukukanya na kukutisha.

watu wengi wamekuwa wakibadilisha sana engine hizi na kuweka za kawaida ambazo hazina mifumo hiyo.mm naamini technologia inabadilika lakini mafundi hatutaki kubadilika labda nikutokana na ufinyu na umaskini wa nchi yetu juu ya haya mambo au la?.

ombi langu kubwa kwenu ni kuwa mm bado sijajua vizuri ufanyaji kazi wake wa hizi pump ni vipi zina press mafuta na kuwa na pressure kubwa.mm ningeomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili au material ningeomba anisaidie iwe kuandika hapa au kwa njia yoyote ile au hata kwa kulipia mm nipo tayari.

na mwisho nilikuwa naomba kama kuna yeyote anayefaham juu ya ni pressure kiasi gani ya mafuta huwa inakuwa autput ya hizi pump ambayo huwa inakwenda kwenye nozeli.