D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

Nani anayeteka na kuua raia wanchi hii?
Kikundi cha Abduli na Mafwele wakishirikiana na ndugu Muliro kwa maelekezo ya IGP na DGIS, na CCM mtandao na wala siyo sisi wana CCM wazalendo
 
Adui wa Tanganyika sio Samia, sio CCM, ni mfumo tulioulea wenyewe. ....... Kauli yako hii usiikane.
Ni kweli ninabaki na kauli yetu, tukimtoa Samia tusidhani tumemaliza tatizo lazima tufumue mfumo wote kabisa tuwe na katiba mpya, tume huru na misingi ya usawa. Ndiyo maana maandamano ya D9 yalenge mfumo siyo mtu.
 
Jambo jema hili, CCM kuna mpasuko mkubwa sana dear, inshaAllah tuangalie nchi kwanza vyama baadae. Lissu aachie huru.
 
Je hili si lako pia? Mbona yanapingana?

 
Nakubaliana Mshana Jr point yangu iko pale pale. Kama hiki kizazi chenye kuishi mfumo wa ufisadi siyo suluhisho la matatizo ya kitaifa. Ni muhimu sana wasijisahau kudhani wanaweza kuwa solution. Umoja wa kitaifa na kuhusisha makundi yote ktk jamii ili kuleta maendeleo
 
Bosi sisi hatukumpigia kura na wala hatukumpitisha kuwa mgombea wetu. Hivyo kama wana CCM hatumtambui.
Kwanini hamkumwambia kwenye Vikao vyenu huko kwenye Chama Chenu?
 
CCM ipi bado unaizungumzia wewe?

Inasikitisha kwamba bado unapata ujasiri wa kuja hapa na kuzungumzia chama ambacho kimetumika kuwaumiza na kuwaua waTanzania!

Bado kuna matumaini gani ndani ya chama kama hicho?

Kama Tanzania itapona, ni lazima CCM ife.
 
Kaeni nyumbani mle madabudabu na watoto zenu, mtafyatuliwa bure mfe kindezi. Tulieni nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…