D.Trump amuumbua Obama, Its time to move on!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,549
2,000
Siku zote nilikuwa na wasi wasi sana na intelligence ya Raisi wa USA Obama na sasa kila kitu kiko wazi anazidi kujidhalilisha na Dunia inazidi kumuona wa ajabu ajabu kuanzia kutoa statement kama kama angegombea Uraisi mara ya tatu angemshinda D.Trump huku ikijulikana kwamba USA kuna awamu 2 tu za Uraisi akaja kukinukisha na Israeli na sasa Urusi!

Baada ya Raisi Obama kuiwekea nchi ya Urusi vikwazo vipya pamoja na kuwa Raisi Obama amebakiza wiki 3 tu aondoke madarakani, Raisi mtarajiwa wa USA D.Trump amesema ,,Its' time to move on to bigger and better things"!

Trump responds to sanctions against Russia, says it's time to 'move on'


 

Mshughulishaji

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
840
1,000
Trump atakinukisha muda sio mrefu maana Januari ni masaa machache sana yamebakia.

Viongozi mara nyingi wanajisahau sana na wengi wao ni wababajdhaji na hawatembei kwenye maneno yao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom