enny mchuz
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 1
Jaman bado hawajaita,anayejua
Wameshaita siku nyingi watu wameanza mzigo since last two weeks
Mbona huwa hamleti tangazo humu wanapotangaza kuwa wanahitajika watu?
Kwenye kuuliza kama watu wameitwa mnakuwa wepesii.
Join Date : 3rd March 2013watu wanaleta/tunaleta yabidi uwe regular user maswala ya kuingia usiku na kuchek post zinazovutia utaendelea kukosa post za maana na kingine uwe unachek kwny mitandao mengine Jr sio pakutafutia kazi hapa umbea tu kazi ziko ----------- na kwingine
duh kuwen na subira jamani wataita tu afu kazi zitaanza mwezi wa sita coz hiyo NGO ipo opposite na hapa ninapoishi
duh kuwen na subira jamani wataita tu afu kazi zitaanza mwezi wa sita coz hiyo NGO ipo opposite na hapa ninapoishi
Jaman bado hawajaita,anayejua
Kwani kuku87 c ulipataga signature holidays?hicho kichina sasa toka hyo deadline hata week mbili hazijafika sasa hizo last two weeks zimefika vp na kingine walisema kazi ni from April
Kwani kuku87 c ulipataga signature holidays?
Thank you Enny Mchuz for your interest in working with DOT Tanzania.
Shortlisting of candidates was a difficult task as we were looking for 75 potential applicants worth an interview from about 1000 applicants. That needed some time, for sure.
Before the end of today, we will be posting the list of shortlisted interns in this forum and call them for a next step.
I advise you guys to keep following my posting in this particular forum.
Thank you!!!
Alexander!!