Wakuu, Hii modem inanitatiza coz nimejaribu connect mitandao ya Airtel na Vodacom lakini inaleta pop-up message "Dial up failed". Cha kushangaza service nyingine kama USSD codes, SMS, Kupiga au kupokea simu inafanya. Shida ni Internet connection, naombeni msaada wenu tafadhali.