bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,333
- 402
D-AGRO ENTERPRISES
1. UTANGULIZI
D-AGRO ENTERPRISES inajihusisha na uzalishaji, usambazaji wa pembejeo, na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima. Imesajiriwa Brela, Tumejikita katika kuinua kilimo cha mazao ya bustani, nafaka na kutoa huduma bora za ugani kwa kutumia mbinu bora, za kisasa na rafiki kwa mazingira.
2. MAONO (VISION)
Kuwa kinara wa kilimo bora na biashara ya pembejeo vijijini Tanzania.
3. DHAMIRA (MISSION)
Kuwahudumia wakulima kwa uaminifu, utaalamu wa hali ya juu na bidhaa bora kwa ajili ya kuongeza tija na kipato.
4. HUDUMA NA BIDHAA ZINAZOTOLEWA
Usambazaji wa mbegu bora za kilimo
Uuzaji wa pembejeo za kilimo (mbolea, madawa, vifaa vya shambani)
Ushauri wa kitaalamu kuhusu uzalishaji wa mazao
Uuzaji wa mazao ya kilimo kama vile nafaka na mboga mboga
Usambazaji wa samadi ya mifugo (mbuzi, ng’ombe)
-Uoteshaji wa miti ya matunda ya kisasa
5. MAHALI ILIPO
Busisi – Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Tanzania.
6. SOKO NA WATEJA WETU
Wateja wetu ni wakulima wadogo na wa kati, mashamba ya kati, vikundi vya wakulima, shule,hoteli, migahawa na taasisi zinazojihusisha na kilimo ndani ya Mkoa wa Mwanza na maeneo jirani.
7. MIKAKATI YA BIASHARA
Biashara inalenga kuongeza tija kwa:
Kupanua huduma hadi miji na vijiji vya jirani
Kutoa mafunzo ya mara kwa mara kwa wakulima
Kushirikiana na taasisi za kifedha na serikali katika miradi ya kilimo
Kuboresha mfumo wa ugavi na upatikanaji wa bidhaa
8. WASILIANA NASI
Barua pepe: demafa88@gmail.com , demafa88@yahoo.com
9. HITIMISHO
D-AGRO ENTERPRISES inaamini kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa maendeleo. Tunakaribisha ushirikiano na wadau wa kilimo kwa maendeleo ya pamoja ya mkulima na taifa.
TUNATAFUTA WADAU WA KUSHIRIKIANA NAO KIBIASHARA KWA NAMNA YOYOTE, , PIA kama kuna ushauri unakaribishwa
Nyaraka zote muhimu zipo ,kinacho pungua ni mtaji tuu unapelea
.chet cha usajiri brela
.TIN
.Leseni ya biashara
KARIBU