M4C ARUSHA
Member
- Apr 27, 2012
- 38
- 4
WAANDISHI MAALUMU
MOSHI,na Dodoma
MZIMU wa mgawanyo wa fedha za maendeleo ya jimbo umeendelea kumtafuna mbunge wa Moshi vijijini Cyril Chami huku akihaha kuitisha vikao na waandishi wa habari ili kukanusha na kutokomea kusikojulikana.
 
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka katika jimbo hilo mbunge huyo alipanga hivi leo kukutana na baadhi ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro katika ofisi za mkuu wa wilaya ili aweze kukanusha.
'Mbunge amekasirishwa sana na ile habari hivyo kapanga aitishe mkutano na watu mbali mbali wawepo akiwemo mwenyekiti wa CCM wilaya,Mkuu wa wilaya,na mwenyekiti wa halmashauri"kisema chanzo chetu.
Hata hivyo baada ya mbunge huyo kumtumia mwenyekiti wa halmashauri Morice Makoi aliondoka Moshi jana alfajiri kuelekea mjini Dodoma katika vikao vya bunge vinavyoendelea huku akijua ana mkutano na waandishi wa habari saa nne asubuhi.
Msemaji wa mbunge huyo ambaye pia ni katibu wake Martin Mallya alikiri mbunge huyo kuondoka alfajiri mjini Moshi na kuelekea Dodoma licha ya matayarisho ya kikao cha waandishi wa habari.
"Hata mimi najua ameondoka leo asubuhi lakini nikimpigia simu naona hapatikani naomba ujaribu kucheki labda jioni atakuwa ameshafika Dodoma "alisema Katibu huyo
Jimbo la Moshi vijijini linadaiwa kutumia vibaya mgawanyo wa fedha za mfuko wa jimbo ambazo hutolewa kwa lengo la kuchochea maendeleo lakini zimetumika katika kujijenga kisiasa.
hata hivyo mpango huu wa kipuuzi ambao umegharimu zaidi ya shilingi laki 6 ikiwa ni posho kwa ajili ya waandishi wa habari imeonekana kuratibiwa na baadhi ya waandishi wakongwe mkoani kilimanajro
waadishi hao ambao kimsingi wamesahau majukumu yao wameonekana kubebwa na Chami huku wakiamini kuwa yeye ni mtu mwema.
lakini jambo la kushangaza waandishi hao hawataki kumsaidia Chami kwa kumshauri ukweli likiwemo jambo la kulala katika hostel za YMCA kwa ajili ya kuwapata wanafunzi wanaosoma hotel management.
waandishi hao ambao bado itelgensia inaendelea kunasa mawasiliano yao itayaweka hadharani na kuona jinsi waandhishi wanavyokiuka maadili yao huku wengine wakiwa ni viongozi wa klabu ya waandishi mkoani Kilimanjaro Mecki.
ikumbukwe chami ni moja ya mtu ambaye ana tabiia ya kuwa na kinyongo kupitiliza hadi kufikia hatua ya kumsema marehemu hali iliyowalazimu waandishi wa habari kumrudishia hela ya rambirambi wakati wa msiba wa Ally Sonda(MWANANCHI).
Ni yule yule ambaye tabia zake haziendani na sura yake huku akiwa anaghubikwa na matendo maovu ya kifedhuli lakini anataka kujisafisha machoni mwa watu hapa hao wabeba mikoba bado wanajifanya hawayaoni.
tukutane....epsode 2.
mwisho.....