Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

JE, KINACHOMLINDA MUSIBA CHAJULIKANA?



JADILI!

Huyu punguani alipofika tu pahala kasema eti chama hakiwezi mfanya kitu waende mahakamani nikaacha kumsikiliza kabisa!

Nimtaarifu tu huyu bwege:

1.Musiba ni mwanachama wa CCM,ishu imepelekwa huko ashughulikiwe kama mwanachama wa CCM..Upumbavu unaosema eti hakiwezi mfanya kitu ni upumbavu!

2.Na hiyo ibara ya katiba unayoi-quote mara elfu haisemi mtu ana uhuru wa kutukana wenzie!...Hivyo una-quote kifungu unaki-apply pasipostahili!

3.Kusema katiba ndio inamkinga Musiba inaonesha hujui lolote maana katiba hamtumi mtu kutukana wananchi wenzake au kuwasemea uongo!

4.Pia kukufahamisha tu,ishu ya Musiba ni ya kisiasa na ni lazima imalizwe kisiasa na kwa bahati nzuri ni mwanachama wa chama cha siasa wana sheria zao za kuwekana sawa!

5.Uelewe kwamba,kama ni Ukuu wa Wilaya unautafuta ni vizuri ukatumia njia sahihi na uonyeshe uwezo mkubwa wa kiakili na sio upumbavu huu unaouongea!

Poor you!
 
Nimekuwa nikimfatilia huyu anayejiita mwanaharakati bw. Cyprian Musiba anazungumza mambo mengi sana.Zaidi anawashambulia Zitto Kabwe,Tundu Lissu,
 
StingRay,

Hata Mwendawazimu akiwa anabwabwaja sana na hovyo tambua ya kwamba kuna mengine anayoyabwabwaja huwa yanakuwa ni ya kweli kabisa.
 
Mission accomplished MEMBE OUT OF CCM:KAGAME ANAFURAHIA HII MOVE!!!Good!NEXT PRESDENT MTUTSI KWA JINA LA UISLAM BAKWATA!!!!!2040 Mauaji ya kimbari kama ya Rwanda!!!watutsi dhidi ya wahutu!!!!
 
Mara nyingi katika magazeti nimekuwa nikisikia jina la cyprian musiba likitajwa tajwa sana lakini binafsi sijapata kumfahamu hata kidogo naomba kwa anayemfahamu vizuri anijulishe.

Kazi zake nikizisoma namfananisha na Joseph Goebels mwanapropaganda wa chama cha kinazi cha ujeruamani.
 
Yupo poa, amejitoa mhanga kusema ukweli. Ametufungua macho kuhusu ufisadi unaofanywa na wanaojiita wakubwa.
 
Sasa hivi anatamani awe hajawahi ongea hayo mambo
 
Huyu alikuwa anatumiwa na Magufuli akifikiri rais ni Immortal sasa baada ya Mwenyezi Mungu kuona kumbe Magufuli hakuwa na sifa yoyote ya uongozi akamuondoa na kumuacha Musiba akiwa hana pa kushika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…