Mr Mjs Member Joined Mar 22, 2024 Posts 34 Reaction score 29 Apr 30, 2025 #1 Kuna haja ya kuwekeza nguvu kubwa sana kuhakikisha jamii inakuwa na awareness ya maswala ya Cyber. Watu wanalizwa sana
Kuna haja ya kuwekeza nguvu kubwa sana kuhakikisha jamii inakuwa na awareness ya maswala ya Cyber. Watu wanalizwa sana
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,834 Reaction score 165,658 Apr 30, 2025 #2 Kuna sehemu hata hazina vyoo ,huko cyber umefika mbali sana mkuu
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,278 Reaction score 7,954 Apr 30, 2025 #3 Kulizwa kupo na kutaendelea kuwepo
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,201 Apr 30, 2025 #4 Wakati unawaza hatua moja kuna mwenzio kawaza hatua tano mbele..... Tushughulikie changamoto ya kupata mahitaji ya muhimu kwa binadamu
Wakati unawaza hatua moja kuna mwenzio kawaza hatua tano mbele..... Tushughulikie changamoto ya kupata mahitaji ya muhimu kwa binadamu