Cybercrimes Act, 2015. Section 4: Illegal Access To A Computer System.

TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,873
2,000
4-(1) A person shall not intentionally and unlawfully access or cause a computer system to be accessed.
(2) A person who contravenes subsection(1) commits an offence and is liable, on conviction to a fine of not less than three milion shillings or three times the value of the undue advantage received , whichever is greater or to imprisonment for a term of not less than one year to both.

Mytake: tunakumbushana tu.
 
C

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,248
2,000
Safi sana maana kuna wakati tunajisahau ana humu
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,668
2,000
Una maanisha nini maana wote tunafahamu hiyo clause
 
R

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,720
2,000
4-(1) A person shall not intentionally and unlawfully access or cause a computer system to be accessed.
(2) A person who contravenes subsection(1) commits an offence and is liable, on conviction to a fine of not less than three milion shillings or three times the value of the undue advantage received , whichever is greater or to imprisonment for a term of not less than one year to both.

Mytake: tunakumbushana tu.
sheria ya ukandamizaji, katili, makaburu, halafu watu wanakuwa wepesi wa kusahau, etu tumekumiss JK!
 
Mwelewa

Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,358
2,000
Hiyo inawahusu zaidi watu wenye uelewa mkubwa wa computer.

Mtumiaji wa kawaida wa computer wala hajui namna gani anaweza kuaccess computer system

Bora ungeweka section 16

Any person who publishes information, data or facts presented in a picture, text, symbol or any other form in a computer system where such information, data or fact is false, desceptive, misleading or inaccurate commits an offence, and shall on conviction be liable to a fine not less than three million shillings or to imprisonment for a term not less than six months or to both
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,198
2,000
Muhimu sana hii kuijua. Asante sana mleta mada
 
W

wamba

Senior Member
Aug 19, 2009
173
250
nchi za wenzetu km ni mtu wa humo humo ndani ya nchi hua wanachukua watu km hao wanaoweza ingia kwenye mitambo ya internet na kuwaendeleza ili wasaidie ktk usalama wa taifa kwenye mambo ya mtandao...ila Africa ni tofauti.
 
Top Bottom