CYBER SECURITY

Joined
Apr 4, 2019
Posts
12
Reaction score
3
Ndugu zangu nahitaji msaada kwa mtu yeyote mwenye uelewa vizuri kuhusu cyber security kama yupo humu ili aweze kunisaidia baadhi ya vitu kuhusu cyber security pia kama atakuwa anapatikana mkoa wa Dar es salaam itakuwa njema zaidi. Whatsap number 0788491371
 
Samahani nahtaji kupata msaada wa maelezo na ujuzi kidogo kuhusu vitu vitatu tu.

1. Ethical hacking
2. Computer forensics
3. Intrusion detection & security monitoring

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nataka nikaajiriwe wanahitaji vigezo hivo

Sasa hapa kuanza kukueleza weeee.. muda nao

Umeweza kuingia youtube kusechi kwa hayo na ukakosa videos?
Kama hujaingia nenda huko sikiliza tatu nne tofauti za kila topic.. huku unasubiri watakao kuwa na muda wakupe tafu pia.
 
Samahani nahtaji kupata msaada wa maelezo na ujuzi kidogo kuhusu vitu vitatu tu.
1. Ethical hacking
2. Computer forensics
3. Intrusion detection & security monitoring
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Ethical hacker(CET)
EH-Ni hacker mwenye kibali kutoka kwa owner wa website ,kuhack kwa ajili ya kufind vulnabilities,
na kufix security holes.....
hii ina qualification zake unaitaji kufanya paper lake, theory na
practical ukifaulu ndio unakuwa certified,, (CERTIFIED ETHICAL hacker)
Hii ni kama CPA Kwa wahasibu......
computer forensics
hii inahusiana na kutafuta evidence kwenye computer mara nyingi hapa
utasikia police wamekuja wamechukua simu,pc ya mtu kwa uchunguzi zaidi..
hapa pia watarecover data zako hata kama ulizifuta...
so inahusiana na kutafuta evidence kwenye pc,
kwa makampuni mengine angalia usitume network(internet) ya office kwa mambo mengine muda wa kazi unaweza fukuzwa kazi........
(use vpn) and (incognito) ,,,
intrusion detection & security monitoring
hii inadeal na wavamizi(wadukuaji) inawadetect na kutoa taarifa
hapa mfano hacker anajaribu kudukua server,admin anapewa taarifa tu kuna mtu out of sytem
alikuwa anajaribu kuaccess hizo server,anachukua hatua...
hapa ndio skiddie wanapokamatwa kwa sana,,
security monitoring
hapa ni kumonitor usalama wa server,sytem, or whatever...
 
asante sanaa mkuu
 
Sasa hapa kuanza kukueleza weeee.. muda nao

Umeweza kuingia youtube kusechi kwa hayo na ukakosa videos?
Kama hujaingia nenda huko sikiliza tatu nne tofauti za kila topic.. huku unasubiri watakao kuwa na muda wakupe tafu pia.
Kuna vitu ukiingia youtube ndo wanakupoteza kabisa
 
EC COUNCIL CERTIFIED SECURITY ANALYST (ECSA)
πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…