Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,764
Sheria ya Makosa ya Mtandao kuanza kutumika kuanzia September mosi mwaka huu.
Mdau kama ulikuwa hujui chukua tahadhari na hapa hofu kubwa ni juu ya uchaguzi mkuu.
Hivi na wale ambao wameshaharibu kabla ya hyo tarehe itawahusu..
Sheria ya Makosa ya Mtandao kuanza kutumika kuanzia September mosi mwaka huu.
Mdau kama ulikuwa hujui chukua tahadhari na hapa hofu kubwa ni juu ya uchaguzi mkuu.
Ama kweli Nyani haoni.....!Bora ianze kutumika tu maana tumechoka na uzushi unaoenezwa na bavicha hapa jf.
kwa wale wote wasioweza kujibu hoja bila matusi inawahusu
Kwa wale wanaomwita rais el zombi na mnyonya damu.