Cx 5 Kluger au Dualis, ushauri

Now zimeshuka bei kidogo mimi nmetoka kuichukua jana i hope kesho kama nitawahi mapema naweza ifanyia usajili kabisa au nikichelewa j4 hyo.

Nmeichukua kwa 34m ya diesel reason ya kununua ni unywaji wake wa mafuta na hyo nili experience kwa jamaa yang alinipa yake nlitumia kama week nikaweka budget ya 100k ya mafuta full ac sabab nlikuwa na watu fulani ila cha ajabu nilivyoweka yale mafuta ya 50k nkatumia week nzima tofauti na haria nlokuwa natumia kabla.

Issue ya perfomance ndo usiseme kwani ina nguvu mno na iko very comfortable yani ile comfortability yake iko the same na haria hybrid hizi new model ambayo hamna hamna hununui chini ya 70m+.

Kuhusu service na spare watu wasikutishe kwani spear zmejaa nying sabab zinanunuliwa sana kwa sasa na watu yani haipiti nusu saa au lisa utaiona inapita high way
Umechukua Cx 5 ya mwaka gani mkuu
 
Back
Top Bottom