Kweli CWT ni wezi hawasaidii walimu kuwatetea maslai yao!Bali ULA pesa tu!KWA mfano Rafiki yangu alikuwa anakatwa na pspf na lapf KWA wakati Moja!alipoenda KWA mwajiri wake wakastop lapf.hivo akaanza kudai kurudishia makato take ikashindikana akaenda CWT wilaya wakamuhidi kufuatilia sasa ni miaka 2 Vila CWT kufuatilia aliens wanamwambia watafuatilia!kweli CWT ni watapeli