Nlimuuliza Katibu wa CWT wilyani kwetu....akanambia hata kama mwalim hataki kujiunga ni lazima akatwe Agency fee...ambayo hata yeye mwenyewe ilimshinda kuelezea madhumuni yake kwa asie mwanachama ni nini...hili jambo walimu inabidi wafungue kesi mahakamani kwani ni kinyume cha taratibu kulazimisha mtu ajiunge kwenye chama asichotaka ila wametunga sheria kuwanyonya waalimu ndio maana unawaona kina mkoba hawataki kuachia madaraka
Hawa ni kupe tu hawana masaada wowote....chama gani kinamuombea mwanachama wake apate shida eti ndo wamusaidie....ni ujinga mtupuMkuu wewe ushasikia pesa ya CWT ndio ya kampeni za CCM unategemea kuna sheria hapo? C need ubabe tu kama zanzibar
Ongea ukweli,pia kwa ushauri fuatilia sheria inayohusu vyama vya wafanyakazi.Nlimuuliza Katibu wa CWT wilyani kwetu....akanambia hata kama mwalim hataki kujiunga ni lazima akatwe Agency fee...ambayo hata yeye mwenyewe ilimshinda kuelezea madhumuni yake kwa asie mwanachama ni nini...
Fuatilieni sheria,sio kupiga kelele tu.CWT ni jipu nashangaa waziri kaingia lakini yuko kimya
Kila ninapokiona kijarada chochote ofisini kwangu kinachohusu CWT huwa nakichana chana mara moja, na siku mwalimu mwakilishi wa Cwt akinihoji kwa nini nachana hizo taarifa zao nitaanza kwa kumzaba kwanza makofi then namjibu.Hawa ni kupe tu hawana masaada wowote....chama gani kinamuombea mwanachama wake apate shida eti ndo wamusaidie....ni ujinga mtupu
Cwt inaposhughulikia matatizo ya walimu inashugulikia kwa waljmu wote na co wanachama pekeyake.mfano,malimbikizo ya mshahara na kupandishwa madaraja haiwezekani kuwatenga wanacchama na kuwaacha wasio wanachama.kwahyo kwa wewe usiye mwanachama cwt wakuwa ni wakala wako katika kufatilia madai uliyonayo.so kama mshahara unakatwa hyo ni ada ya uwakala ila stahiki zingine toka cwt hutawez kuzipata.Nlimuuliza Katibu wa CWT wilyani kwetu....akanambia hata kama mwalim hataki kujiunga ni lazima akatwe Agency fee...ambayo hata yeye mwenyewe ilimshinda kuelezea madhumuni yake kwa asie mwanachama ni nini...
safi saanaWalimu acheni woga, tafuteni kujuwa haki zenu kisheria. Ni kosa kisheria kukata mshahara wa mfanyakazi bila idhini yake, ndio maana kila katiba ya chama chochote cha wafanyakazi ina utaratibu wa kujiunga na chama hicho pia ina kipengele cha ukomo wa uanachama. Sisi hapa Manispaa ya Kigoma ujiji walimu kibao tulisha jitowa kisheria wala hatukatwi na CWT
sio lazima, agency fees unakatwa lakini kiwango kdogo ukilinganisha na wanachama, kama umekata sawa na wanachama fungua kesiMie nafikiri mwalimu hupaswi kulalamika.Watumishi wote ni wanachama Wa vyama vya wafanyakazi Kwa kada wanazohudumu either kwakuomba wenyewe au Kwa mjibu Wa sheria ya kazi na mamhusiano kazini.Hata hivyo wewe unafurahia wenzako wakatwe agency fee lakini chama kinapokomaa kutoka walimu wapate mishahara mizuri unakuwa wakwanza kutoka kujua habari hiyo.CWT ni ya walimu wote amua kuhama fani ndo utolewe kwenye makato.
waziri hawezi kuingilia hili suala, kuingilia ni sawa na kumwamsha aliyelalaCWT ni jipu nashangaa waziri kaingia lakini yuko kimya