new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,721
Naomba kujua, gari ikiwa kwenye safe mode kuna warning light yoyote huonekana kwenye dashboard?? Maana hapa gari haina warning light yoyote, na nimeipeleka kwenye mashine sikuona fault code yoyote.. Nkatoa waya wa betri kureset still changamoto ipo palepale mkuu..Mkuu new generation, nafikiri tatizo lako sio kubwa. CVT gear (actually ni pulley) settings zinafanywa na your on-board computer. Nafikiri kati ya fundi wa mwanzo na ulipobadilisha wewe transmission fluid hizi settings zilijifuta...
Actually, inategemea na aina ya gari kama kutakuwa na warning light au hapana. Magari mengi yenye electronic transmission control, ukiondoa power, kama ku-disconnect betri kwa muda mrefu, basi hizo control codes zinajifuta kwenye compyuta ya gari na inabidi uziset tena.Naomba kujua, gari ikiwa kwenye safe mode kuna warning light yoyote huonekana kwenye dashboard?? Maana hapa gari haina warning light yoyote, na nimeipeleka kwenye mashine sikuona fault code yoyote.. Nkatoa waya wa betri kureset still changamoto ipo palepale mkuu..
Nilipodadisi sana kwenye internet, nikakuta huu ushauri wako.Pole kw janga,
Ulivosema kw maelezo yako pale mwanzo, tatizo lilisababishwa na mafuta yasiofaa, ATF kabla ya CVTF! ILA, mlipo kua mkibadilisha kuweka yaliofaa, mlisahau kua kuna mafuta mengi yaliobaki mle ndani kwa torque converter na pia cooler pale kwa radiator. Haya ndio yanayosumbua sasa, the best way woulda been to flush through- yaani kujaza mafuta na kungurumisha engine na kuyamwaga mafuta kutoka kwa return pipe!!!
Bro, asante kw kuunga mkono. Nimekua nikikabiliana na watu wa mawazo hayo hayo ya huyo 'fundi', wawe wateja na ushauri waliopewa(potoshwa) au pia mafundi wenzangu wasiojiongeza au kuelewa issue kabla ya kuishtumu.Nilipodadisi sana kwenye internet, nikakuta huu ushauri wako.
Lakini nilivyomweleza fundi kuhusu kuflush kwa njia hiyo, alikataa. Akasema tutauwa transmission.
Ikabidi tufanye manual. Very costly.
Bro, asante kw kuunga mkono. Nimekua nikikabiliana na watu wa mawazo hayo hayo ya huyo 'fundi', wawe wateja na ushauri waliopewa(potoshwa) au pia mafundi wenzangu wasiojiongeza au kuelewa issue kabla ya kuishtumu...
Kwa uhakika itategemea na transmission yenyewe, mazingira ya matumizi na uendeshaji. Ila kwa matumizi ya kawaida - mwendo taratibu, umbali wastani na dereva makini, km 50000 ni makadirio mazuri.Cvt fluid inashauliwa kubadilishwa baada ya mda gan au km ngap
Ni ist new modelKwa uhakika itategemea na transmission yenyewe, mazingira ya matumizi na uendeshaji. Ila kwa matumizi ya kawaida - mwendo taratibu, umbali wastani na dereva makini, km 50000 ni makadirio mazuri.
KWA UHAKIKA TIZAMA OWNERS MANUAL YA GARI!
Mkuu naomba uni pm namba yako nahitaji kuongea nawe kwa guidance zaid, maana gari mara ina engage gia zote mara hazibadiliki... Gari inakwenda kwa gia namba 1&2 pamoja na reverse.. Ingawa nazo hazina nguvu kama inavotakiwa... Na uki-shift ear lever kwenda D kuto N gari inashtuka kama mara mbili (ths is unusual). Sijajua kama inaweza tengenezeka na garama yake kuitegeneza, na baada ya kuitengeneza inaweza kua reliable? Maana gia box wanauza bei juu (700, 000-800, 000) sasa kwa usawa huu dah..Kwa uhakika itategemea na transmission yenyewe, mazingira ya matumizi na uendeshaji. Ila kwa matumizi ya kawaida - mwendo taratibu, umbali wastani na dereva makini, km 50000 ni makadirio mazuri.
KWA UHAKIKA TIZAMA OWNERS MANUAL YA GARI!
Kwa manual yangu wameandika una change baada ya km 100, 000Cvt fluid inashauliwa kubadilishwa baada ya mda gan au km ngap
Na fluid yenyewe ni CVT-TCCvt fluid inashauliwa kubadilishwa baada ya mda gan au km ngap
Asante kwa kunipa kianzio mkuuKwa manual yangu wameandika una change baada ya km 100, 000