kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.
Kuna haja ya semina elekezi kwa MPs on how to write their CVs.
Hakuna mpangilio wa maana, miaka inakwenda mbele na kurudi nyuma.
This is a shame.
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.
Hata mimi nimeiona hii. Sijui kuna nini?? Nilicheck CV ya Waziri wake (Hadji Mponda) anasema amesomea London University................ Ukicheck kwenye site hakuna hiyo University bali kuna University of London. Sasa sijui PhD holder anawezaje kufanya kosa kama hilo??? Nilichek CV ya Makinda iliyoletwa humu........... anasema ana Diploma in Management kutoka Mzumbe wakati tunafahamu kuwa Mzumbe hawajawahi kutoa diploma kama hiyo.
Siasa kweli inalipa sana, kwa taaluma ya mama nkya asingehangaikia politics ila angekuwa somewhere kwenye mashirika ya kimataifa akila dola, haya sasa aibu inakaribia kumpata, lile shangingi la uwaziri na malupulupu yake anayakosa na ndio kinacho muuma zaidi, Kama kazi umeshindwa na unaowaongoza hawakutaki sepa kwani ukibaki utawaongoza kina nani wakti hwakutaki? Jivue gamba kabla hujavuliwa, utabaki uchi.
mkuu umesoma vizuri hiyo cv yake hapo juu? uzoefu katika nini?Ni kweli Nkya ana elimu na uzoefu mkubwa lakini ni kwa nini madaktari hawamtaki? wananchi wangependa kujua hilo mimi navofikiri. otherwise kuna mchezo ambao unaweza kuliletea taifa madhara makubwa badala ya kuwaletea wale wanaozozana yaani madaktari na hao mabosi wao
I share the same opinion. If such attitude will be left to prevail...riples of more or less similar sentiments from other people, professional bodies and cadres will arise putting the executives in total chaos. The underlying issue is that NO SINGLE PROFESSION IS SUPERIOR THAN OTHERS . We depend on each other!JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.
I share the same opinion. If such attitude will be left to prevail...riples of more or less similar sentiments from other people, professional bodies and cadres will arise putting the executives in total chaos. The underlying issue is that NO SINGLE PROFESSION IS SUPERIOR THAN OTHERS . We depend on each other!