EmeraldEme
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 116
- 20
Fuatilia mijadala yake Bungeni, fuatilia kazi zake, fuatilia jimbo lake halafu ukimaliza rudi hapa utuambie tena ulichosema.
Msikilize huyu hafalu uje tena hapa
Hon Philipo Augustino Mulugo, Dep Min of Education & Voc Training, Tanzania, Innovation Africa 2012 - YouTube
kiukweli huwezikumfananisha vicent na huyu pompopo.
Mkuu utakuwa hujanielewa. Great minds discuss issues and ideas na sio watu.Humu ndani tuna tabia ya kudiscuss watu na sio issue za muhimu. Kwanini kujadili C.V ya Mh. Vincent Nyerere?
Majukumu yake si anayatekeleza kuliko hao Maprofessa? That is my point, kama sisi ni Thinkers kweli, tudiscuss issue tuache tabia za kudiscuss watu.
acha uongo wako,unamdanganya jamaa badala ya kumshauri ajiendeleze kielimu,mbona wewe umesoma vizuri na watoto wako unasomesha kwa bidii kamaelimu haina mpango kwa maisha ya sasa na yajayo unahangaika nini?!!usomi bila utendaji ni bure.
Kusoma maana yake ni kukopi mambo yaliyokwisha andikwa na kuyakariri ili kuwaridhisha wale wanaoyaamini.
Kutumia akili vizuri ili kuwezesha maendeleo inazidi kusoma kwa kukariri madarasa vidato na majumba ya mihadhara.
Tatizo la wasomi wetu ni kwamba wanasoma mpaka pale tu walipofundishwa, hawawezi kuja na kitu kipya cha kwao kulingana na wakati na mazingira waliyomo.
Utasikia anayeitwa msomi akisema kama alivyosema 'fulani' namnukuu.
Hii ni akili mgando. Sema na wewe kwa upeo wako. Matambo pekee ni upuuzi, mimi ni shahada daraja la kwanza, mi ni professor n.k haitusaidii.
Kama hatuwezi kusema mtambo huu uliundwa na msomi fulani, hii mbinu iliasisiwa na fulani, hatuoni faida ya wasomi.
ndio wale wale tu sema tofauti ni mmoja wa chadema na mwingine wa ccm ndio mana unatapa tapa kujaribu kumficha wa chadema kutokana na kuzidiwa na mapenzi ya chama kupita kiasi tukiukweli huwezikumfananisha vicent na huyu pompopo.