CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education1980
1987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
Ritz Hapo kwenye red kibajaji amesoma primary school miaka mingapi, na kwanini?
 
Last edited by a moderator:
He, makubwa!!
Yaani Mhe. mnyika anaouwezo huo wa kuingia na kufuta taarifa zilizomo katika wavuti ya Bunge!!!????
Kama ndivyo, basi balaa. Lakini kitaaluma ya IT, si rahisi hivyo mtu kama yeye kuwa na access hiyo.
Wapo watu maalum walioajiriwa kwa kazi ya kuingiza na kuondoa au kurekebisha taarifa zilizomo katika wavuti ya Bunge.

Makubwa nini? Nenda kwenye tovuti ya Bunge kama unatakuta CV ya Mnyika.
 
Kwa uzoefu wake atatufaa sana, Bravo Mbowe kwa uteuzi huo. Labda wewe Ritz nikuulize hao wenye ma CV marefu kama unavyotaka wameifanyia nini nchi hii??????
 
Amesha sema 2015 hagombei tena la sivyo tutampumzisha hii shule ndogo mno! ila namheshimu ni jembe lisilotikisika.
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1429.jpg
First Name: Said
Middle Name:Amour
Last Name:Arfi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mpanda Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 77, Mpanda
Office Phone: +255 786 001122/+255 767 001122
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: safri@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 9 February 1952
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mpanda Day Middle SchoolPrimary Education19621966PRIMARY
N.A. Inyonga Primary School, MpandaPrimary Education19581962PRIMARY
Railway Training School, NairobiShort Course19721972CERTIFICATE




JF Daima:A S-coffee:

Msikie tajiri wa dunia
View attachment 57199
 
Huyu lusinde huenda alirudia mwaka, kwa sababu kama alianza mwaka 1980 alitakiwa kumaliza mwaka 1986 kama mimi. Kumbe ndo maana pumba zimmemjaa mpaka kwenye nyusi.
 
Ritz ,

Before you laugh for the last time try to use your common sense. Umesema Serikali Kivuli or if you know a bit more it's just trying to balance the game. Katika Katiba au sifa za Mbunge wanasema lazima ajue kusoma na kuandika Kiswahili. So hata Kama una Phd haijalishi you simply qualify by the minimum. Huko Kenya wamepitisha sheria Leo kugombea Ubunge you must have at least a bachelor degree from an accredited Institution so ngoja wakibadilisha then talk of CV's and not today. Cv yake haina tofauti na ya John Lukuvi Mwalimu wa UPE so you can just keep cool.

execellent ndg yangu. unajua ukijua kanuni bana huwezi pata tabu. sheria zetu zinasema ili ugombee ubunge LAZIMA ujue kusoma na kuandika vema kiswahili. inaendelea kusema kuwa uwe na akili timamu. SASA tuanzie hapo, je, hao wabunge wa ccm wanazo elimu za kutisha kuliko CDM. tuanzie kwa LUKUVI, tuje kwa bwana matusi LIVINGSTONE LUSINDE, tuhamie kwa muimba kwaya KOMBA, twaweza kwenda umbali wa hata kuhoji mzee LUKSA alikuwa amebobea ktk taaluma gani? au ndg tumesahau kitabu cha MSEMAKWELI nini??? hivi leo mi na wadhifa mkubwa nilonao nyumbani kwangu unikashifu kuwa sina hata elimu ya msingi si naku-sue tu mahakama?? mbona mpaka leo wameshindwa mpeleka MSEMAKWELI??? au pia tumesahau asili ya neno KIHIYO????? kwa taarifa yenu asili yake ni CCM bandugu. kama alivyosema mchangiaji mmoja kuwa zaidi ya robo tatu ya watanzania walioko au wanaohitimu vyuo vya elimu ya juu wote ni CDM tunataka nini tena. BY THE WAY, niaka ya 90 UINGEREZA ilikuwa chini ya waziri mkuu (JOHN MAJOR) ambaye inasadikika hakuwa na digrii. NASHAURI tunapochangia tusiongozwe na hisia bali tuongozwe na THEORY ya POSITIVE CRITISM.
 
nchi zote dunia ni zenye mafanikio makubwa zimewekeza ktk railway systems,ni vyem tukiwa na watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo ya railway system maana ndio usafiri pekee ulio wa uhakika na uchache wa ajari,huku tulipo watu wengi wanatumia usafiri wa reli ingawaje mabasi yapo lakini si kwa safari ndefu.so mtu kama huyo mazingira tulipo ndio wanaowatumia kwani yupo ktk fani ambayo amesomea kuliko kumweka mtu ilimradi awepo.ingawaje namkubari sana Dr Mwakyembe kwani ni mwepesi na msimamizi mzuri wa mambo kwa hiyo akiwa na watu wajuzi kama hao mambo yatakwenda
Huyu hana uelewa mkukwa kwa elimi ya cheti aliopata kwa Qualification ya middle school!
Hapa Hamna kitu
 
Ritz weka ya kwako hapa wewe, kazi yako ni umbea na ushambenga tu.
 
Siwezi kuamini kama hii cv ni ya makam mwenyekiti wa chama.kweli kabisa huu ni mtihani mkubwa.
 
Huyu lusinde huenda alirudia mwaka, kwa sababu kama alianza mwaka 1980 alitakiwa kumaliza mwaka 1986 kama mimi. Kumbe ndo maana pumba zimmemjaa mpaka kwenye nyusi.

kama makamu mwenyekiti wa chama ni darasa la saba mbona hali inatisha,ina mana ndio cream pekee iliyopo kwenye chama.aibu
 
nchi zote dunia ni zenye mafanikio makubwa zimewekeza ktk railway systems,ni vyem tukiwa na watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo ya railway system maana ndio usafiri pekee ulio wa uhakika na uchache wa ajari,huku tulipo watu wengi wanatumia usafiri wa reli ingawaje mabasi yapo lakini si kwa safari ndefu.so mtu kama huyo mazingira tulipo ndio wanaowatumia kwani yupo ktk fani ambayo amesomea kuliko kumweka mtu ilimradi awepo.ingawaje namkubari sana Dr Mwakyembe kwani ni mwepesi na msimamizi mzuri wa mambo kwa hiyo akiwa na watu wajuzi kama hao mambo yatakwenda

mkuu! naungana na wewe100% kuhusu hii comment yako! lakini kwa short course-chet! sidhani kama huyu jamaa atakuwa na uelewa mkubwa unaohitajika ! na ukiangalia 21st century hii teknolojia ipo juu! nahuyu kaipata enzi zetu zile kweusi!
 
mkuu! naungana na wewe100% kuhusu hii comment yako! lakini kwa short course-chet! sidhani kama huyu jamaa atakuwa na uelewa mkubwa unaohitajika ! na ukiangalia 21st century hii teknolojia ipo juu! nahuyu kaipata enzi zetu zile kweusi!

tena certificate yenyewe ya miezi mitatu tu.
 
Mh.Arfi mbunge wa mpanda kati achilia elimu yake kuwa ndogo kwa mjibu wa akili za wenye elimu ndogo,katufanyia kitu gani hata tumseme kuwa hafai?kama kuna mtu mjinga jamiif basi ni huyu anayejisifu kuwa chama chake kina wasomi wa madgrii mengi,swali kwa mtu mwenye akili timamu ni kwamba,je hayo madgrii ya makada wenzako yametufikisha wapi watanzania?usomi wa mzee wa vijisenti umetufikisha wapi?usomi wa akina lowasa,balali,ngeleja,maige,makinda,mkapa,maige,masaburi,aggrey mgonja,nazir karamagi,mbunge wa bahi,akina rehema ncimbi,ummy mwalimu na wengine wengi wametusaidia nini?mzee arfi kawaudhi nini wana wa nchi hii tuanze kumnyoshea kidole kwa elimu yake ndogo? Nahitimisha kwa kusema kama kuna mtu mjinga hapa basi ni yule anayejisifu kwa madgrii ya makada wenzake waliojaa madhambi ya wizi na unyanyasaji..Mungu bariki mzee ARFI
 
Wanaomuita JK dhaifu wanamatatizo ya afya ya akili na wanahitaji tiba Psychotherapy kwa miezi tisa,tatizo hili huchangiwa pia na njaa
watu wengi wanaopinga udhaifu kwa kikwete wana udhaifu zaidi yake kwa kimapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom