CV ya Patrobas mrithi wa John Heche BAVICHA

nauliza hivi ni mchaga/anatokea mikoa ya kaskazingpg au sio? Majibu tafadhari
 
anasali wap? Na home kwao? Tuwekeeni makamanda maana maccm yanaweza propaganda zao.
 

Samahani mkuu huyu ni wa Tarime au kabila gani huyu? Maana hiyo nafasi kwa ni lazima ishikwe na watu kutoka makabila shupavu.
 
Kumuongezea hasira nampa kibali cha kuwinda nguruwe pori asikose kitoweo cha kiti moto na supu ya pweza na kiroba origino.
 
CV ya patrobas:
  • Mzaliwa wa Kagera
  • Elimu ya msingi MWANDIGA P/SCHOOL
  • Sekondari Singida (O-Level) na Tanga (A - Level)
  • Chuo Kikuu (Mwanza - SAUT)

Sifa:
  • Kuongoza migomo mashuleni (sekondari)
  • Kuvunja maadili ya shule (Kupiga picha za utupu)
  • Uvutaji bhangi (Sekonadri - Chuo Kikuu)
  • Kuchana bendera ya taifa (SAUT)
  • Kuchana kadi za CCM (SAUT)
  • Kukashifu viongozi wa serikali ya Chuo, Taifa (SAUT)
 

Du.... Dogo ameshakuwa Mheshimiwa? Kweli hizi fikra za kihafidhina zinatumaliza!
 

Unajisikiaje baada ya kusema hayo...?

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…