Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,200
Naunga mkono hojaUkiachana na Elimu ya makaratasi na ya kusomea tumbo, Tunamtunuku degree za heshima humu Jf,
Ana PhD in Tactical questions, hii aliipata banda ya kumuuliza Swahili Taita wa magogoni akashindwa kujibu
Ana PhD in Future forecast and Political analysis hii alipewa baada ya kusema magufuli atakuwa Rais 1 year before uchaguzi
Ana PhD in property management hasa enzi hizo akiripoti sabasaba hajawahi report ameibiwa kitu kwa umati ule unaokuwepo au kureport ule waya wake wa mike umepata default
Mkuu elimu yake ni kubwa kuliko Wale ambao wamejaza makaratasi kichwani hata furaha hawana
Hebu mfananishe Le poropesa au le profesel lipumba na Pascal, Pascal is the best
Ndio maana nikakwambia ni communication specialist,ukimuona kama Ndezi bado hujampa sifa stahikiThanks mkuu. Sikutaka kujua lama zinacharge au la! Hata ivo nashukuru kumfahamu najaribu kumcheck hata youtube nione sura yake lakini wapi. Good for him lakini aache undezi
Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..Ukiachana na Elimu ya makaratasi na ya kusomea tumbo, Tunamtunuku degree za heshima humu Jf,
Ana PhD in Tactical questions, hii aliipata banda ya kumuuliza Swahili Taita wa magogoni akashindwa kujibu
Ana PhD in Future forecast and Political analysis hii alipewa baada ya kusema magufuli atakuwa Rais 1 year before uchaguzi
Ana PhD in property management hasa enzi hizo akiripoti sabasaba hajawahi report ameibiwa kitu kwa umati ule unaokuwepo au kureport ule waya wake wa mike umepata default
Mkuu elimu yake ni kubwa kuliko Wale ambao wamejaza makaratasi kichwani hata furaha hawana
Hebu mfananishe Le poropesa au le profesel lipumba na Pascal, Pascal is the best
Its okey, naendelea kukusanya wadhifa wake.Ndio maana nikakwambia ni communication specialist,ukimuona kama Ndezi bado hujampa sifa stahiki
Huwa anapiga sehemu kwa wakati sahihi,halafu anarudi baada ya siku mbili kufanya assessment,na hata thread iwe na page 100,ana uwezo wa kupitia kila comment na hajui kutukana mtu
Bashite anajipigia promoAcha kujidai haumfahamu.
Wewe una yako, ndo maana unakuja na kusema eti “fikra kubwa ni kutaka Bashite awe rais baada ya Sizonje”!
Sasa kwa wengine hayo ni matusi makubwa kabisa!
Paschala mayala nafikiri ana degree kama sikosei, maana miaka ya 2004 hadi 2007 nlikuwa mlimani, na nlikaa mabibo hostel, na yeye nlikuwa namwona na lipikipiki kubwa hiviNdg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Kwani wewe kigezo chako mtu kuwa smart ni kipi.Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..
Mkuu ungeongeza pia Pascal ana exposure ya kuishi nje ya nchi kama 3 years both UK n' US. Nimejazia jazia nyama hio CV. Kiufupi jamaa ni nguli kwenye tasnia ya habari.Jf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Kwa nilivoelewa jamaa hajamsifu paschal mayalla, isipokuwa kampiga jungu kiaina...Huwa tunaharibu hoja zetu nzuri kwa kupaka mafuta yasiyo na maana, Hakuna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyo?atakua binadamu wa ulimwengu ujao basi. ilitosha kusema uliyoyasema bila kupaka mafuta pasipohitajika. Kesho akiandika kitu kitachopingana na interest zako utakua wa kwanza kumponda
Sura yake halisi ni hiyo inayoonekana kwenye profile yakeThanks mkuu. Sikutaka kujua lama zinacharge au la! Hata ivo nashukuru kumfahamu najaribu kumcheck hata youtube nione sura yake lakini wapi. Good for him lakini aache undezi
kaibomoa wapi serikali..? Naona kama unataka kuharibu CV yake.Kwani wewe kigezo chako mtu kuwa smart ni kipi.
Umeomba cv tumekupa,unataka rohoye?😀
Mwenzako anapeta na jina lake humu,bado tu unasema sio smart?kuibomoa kote huku serikali hajapewa hata karipio la mdomo unadhani ni mwenzako huyu?
Mkuu ungeongeza pia Pascal ana exposure ya kuishi nje ya nchi kama 3 years both UK n' US. Nimejazia jazia nyama hio CV. Kiufupi jamaa ni nguli kwenye tasnia ya habari.[/QUOTE
kuishi UK n US doesnt add value. Huwezi sema kichaa wa US na Tanzania hawako sawa kisa exposure. Take note