Acha kujidai haumfahamu.Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu。
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Huwa tunaharibu hoja zetu nzuri kwa kupaka mafuta yasiyo na maana, Hakuna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyo?atakua binadamu wa ulimwengu ujao basi. ilitosha kusema uliyoyasema bila kupaka mafuta pasipohitajika. Kesho akiandika kitu kitachopingana na interest zako utakua wa kwanza kumpondaNdg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu。
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
ok maelezeko yanajibu baadhi tu ya maswali yangu hata ivo nashukuruJf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Jf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Thanks mkuu. Sikutaka kujua lama zinacharge au la! Hata ivo nashukuru kumfahamu najaribu kumcheck hata youtube nione sura yake lakini wapi. Good for him lakini aache undeziHuyu jamaa zimo na zina-charge sana. Huwezi kumfananisha Pascal na mtu kama Bashite, never.
Huyu jamaa nilmjua ile siku JPM alipokutana na Waandishi wa Habari, swali lake ndilo pekee lilionekana kumtikisa JPM mpaka akapotezea kwa kumwambia jamaa kazaliwa siku ya NJAA(Mayala in Sukumaland ni njaa nyingi).
Ikumbukwe kwamba JPM, Bashite na Mayalla they're of the same Origin....!!Ingawa kuna mashaka mashaka na origin ya Mkulu...!!!
Uliza tu utajibiwa yanayojulikana kuhusu Pasco Mayallaok maelezeko yanajibu baadhi tu ya maswali yangu hata ivo nashukuru
Ukiachana na Elimu ya makaratasi na ya kusomea tumbo, Tunamtunuku degree za heshima humu Jf,Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
hahaaa mleta mada kwa hizo CV lazima akimbie ..amekaa kimbea mbea tu ..natumai keshamjua vyema sasa ..alete lingine jipya kama analo sasaJf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!