CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

Wekeni basi ya Slaaa wakuu ili tupambanue

utoto bwn,acha utoto uitwe utoto! Sasa sijui wapi kumesemwa kuna mpambano! Hii ni cv ya mtu mmoja wala haiitaji mpambano.

Si kila kitu ni siasa wala udini,hapa thread inaonesha upande wa rais wala si mpambano. Ukiona mtu badala ya kujiita genius person anaita ubongo ndo genius wakati huo ubongo ndo unaeleza ujiniasi wa board ujue tayari ni tatizo maana hapo hamna mtu ni ubongo tu na ni sawa na mtu asiyepoteza uhai tayari,ila ubongo unaendelea kuwepo.

Point hapa ni mh.rais wala si vingnevo!
 
Si unaona CV ya Rais inavyo takiwa kuwa, sasa Slaa na ye amwage ya kwake. Hapo ndipo mtakapo jua mwalinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu

Huwezi kulinganisha degree za mezani ( za JK ) naza kusomea (za Dr Slaa).
 

cv imejaa udini mtupu ndio maana sishanagaii na udini unaoendelea. R.I.P SLAA.:amen:
 
Huyu jamaa kumbe alisoma degree ya uchumi91972-1975 B.A (Economics) University of Dar es Salaam) mbona siku ile ya mdaharo wa kuchakachua alisema hajui hesabu. Na kweli amedhibitisha uchumi hauwezi mimi hudhani kasoma political science.
Kuna mahali nisikia GPA yake. Kitendo cha kutorudi darasani tena baada ya Ist degree ni uthibisho tosha hiyo GPA niliyo isikia ni ya kweli.
 
Si unaona CV ya Rais inavyo takiwa kuwa, sasa Slaa na ye amwage ya kwake. Hapo ndipo mtakapo jua mwalinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu

Ndugu hizo ni karatasi tu. Tuambie hiyo elimu ina msaada gani kwa jamii ya Watanzania, zaidi ya kuwaibia
 
Kwa sivii hii ya slaa, ikulu yetu haimuhusu.

kwa nini haimuhusu, we kama unaona haimuhusu basi katiba inamruhusu kwenda ikulu
hata shehe Yahaya ana haki ya kugombea kwenda ikulu
 
CV ambayo umeisahaukuibandika ni amemnyang'anya Mkapa cheo cha kuwa FISADI NAMBARI ONE hapa nchini.....................
 
haya makaratasi ya wadhungu munayaita cv sijui vyeti vya kuhitimu vyote ujinga mtupu kama haviwezi kuleta matokeo chanya kwenye jamii uliopo ni sawa tuu na mzee mmoja hivi ana sifa nyingi kijijini za alisoma sana enzi zile lakini alifanya nini na anafanya nini sasa ndo kisa cha kumuona ni mjinga tuu na mlevi mataputapu.
angalia cv zako na vyeti vyako vilivyoja sanduku vimeleta manufaa gani afu ndo jivunie kuwa na vyeti hivyo!
 

Nashangaa sana mtu aliyegraduate uchumi mwaka 1975......miaka 35 tangu atoke chuoni ameshindwa kurudi darasani kujiongezea fani....ni uvivu ....watu wengi waliopata degree miaka hiyo elimu ikiwa adimu tena aliokuwa nao darasa moja ndio hao kina professor lipumba.......
Yet unashangaa kuwa Kijeshi pia hana historia ya kutukuka ukiacha kupanda cheo kisiasa.....hakuhudhuria kozi za medani za kijeshi.....alafu inaonekana alikuwa ana utovu wa nidhamu ndio maana Alianza kazi na vyeo vikubwa akawa anashushwa...mfano....alikuwa katibu msaidizi ccm zanzibar,katibu wa ccm mkoa,akawa afisa tawala wa chama -Taifa [chini ya Daud mwakawago],akapelekwa kuwa mwalimu wa siasa jeshini...[akaharibu...kwa kujihusisha na wake za askari...hadi akapigwa vibao na wa...]..akakimbilia ccm makao makuu ...wakamchusha cheo hadi ..kazi ya katibu wa ccm wilaya ..enzi hizo ni kazi ilikuwa inafanywa ...na makada wenye elimu ya darasa la saba.........Kama sio warioba kumkuta Lindi wakati alipoenda kuweka kambi kule kukarabati madhara ya mafuriko ya lindi na mtwara....na kumuonea huruma graduate mzima anaendesha baiskeli..na kumuombea kwa mzee mwinyi ampe ubunge..[jambo ambalo kikwete anakiri hadharani na kumshukuru warioba]........Kikwete angeishia huko huko kwa kuwa tabia yake ya uchafu ilikuwa inakwaza kila mara faili lake linapopelekwa Ikulu.............
Waakati wa uchaguzi wa mwaka 2005..alitumia nguvu kubwa sana ili faili la utendaji wake tangu anaingia kwenye utumishi wa chama lisisomwe na wajumbe wa kamati kuu ya chama........ingekuwa ni aibu....na hata huko jeshini faili lake lilikuwa chafu sana....kwa wanomjuwa tabia zake hasa waliokuwa wakuu wake wa kazi jeshini na kwenye chama wanashangaa sana kama kweli kikwete wanayemfahamu ni rais ....na kama kweli ataweza kuacha udhaifu wake ....hasa kwa wanawake...warembo....na kwa waliokuwa naye wansema alikuwa akikosa mrembo ni yeyote!!!....lakini pia ...waliokuwa naye Tanga School wanakiri kuwa zaidi ya kuwapenda wanawake pia wanawake wanampenda ......na enzi hizo wakimuita JAKAYA.....wanasema kila walipokuwa wakienda KOROGWE GIRLS basi yeye ndio aliikuwa anapata wanawake........na kwa kuwa hakuwa mbabe basi ilikuwa inamletea matatizo sana pale demu wa mbabe anapombabaikia...Jakaya...!!..sometimes kichapo!!
 

Umemaliza kila kitu mzee!
 
Phillemon Mikael, degree ya msingi ni ya kwanza tuu, hizo nyingine ni ziada. Ila pia ili mtu kusoma masters, kuna vigezo unatakiwa uwenavyo plus interest for futher studies. Kama degerii ya kwanza umeipata kwa mbinde, supps na carry overs kibao, hatimaye ukalikwaa gamba na GPA ya less than 2.0 unategemea nini?.

Ila pia success haipimwi kwa mtu una degrii ngapi, watu kibao wameishia pass, biashara imeisha na wako very successiful kwa maendeleo ya kuonekanika na kauli za burasa toka vinywa vyao zenye kuashiria usomi na busara, huku vichwa vyenye ma Ph.D kibao vinasongamana pale UDASA wakinywa kwa kukopa huku wakisubiri time za kufunga na kumgombea wahudumu na kurudi makao asubuhi!.

Kwa wenzetu ukanda wa Pwani, jamaa kajitahidi sana, kwani kufika tuu Mlimani ni issue, degree anayo, sasa masters ya nini?. Ukimsikiliza baadhi ya kauli zake utaijua burasa iliyomo ndani yake na utakubaliana na mimi, hapo alipo is the very best of him.

Nadhani Mkuu ameridhika sana ndio maana ana jiproud na hizo degree za heshima na kuziweka kwenye academic qualification ili hali ni honorarium tuu huku media wakimwimbia nyimbo za shangwe na mapambio ya Dr. so and so as if ni Dr. kweli!.
 


Phillemon Mikael, msisahau, huyu ndie mkuu wetu wa nchi, mambo mengine kama haya ya enzi za foolish age, mnayaacha au mnamezea.

Data kama hizi ndizo zinafanya JF ionekane inamvunjia heshima mkuu wetu, nashauri kwa tabia tumhukumu kwa tabia yake ya sasa na sio ya nyuma.

Tukikomalia data kama hizi, hata kwa hao makamanda tunawaheshimu, hakuna atakayesalimika, mwishoe tutajaonekena tunaendekeza siasa za majitaka.
 
Ndo nachakata na mama gaude wangu kupata kamoja..mitoto ikiwa mingi mnaanza kugombania remote ya tv mi staki mambo hayo

kama tatizo ni kugombea remote, si utanunua tv mbili, yako na mama gaude haf na ya watoto peke yao!!!!!!!!!!!!!
 




Mrdash1 ktk Reply post no. 59 anasema:

''huijui CV, umeisikia tu kwa watu mitaani, kwa taarifa yako CV ni document ambayo waajiri wanatumia kumpata candidate anayefaa kwa kazi iliyotangazwa. Baadhi ya vipengele vya CV:

1.Personal information ( jina, tarehe ya kuzaliwa, anwani, simu, marital status nk)

2.Education Background (Kikwete BA econonics, DR Slaaa PhD religious law)

3.Work Experience (Kikwete never worked as economist, Dr Slaa worked as a Priest)

4. Other experience outside profession (Kikwete politician, Dr Slaa politician)

5. Responsibilities and outcome (Kikwete: CCM district & regional secretary, Member of paliarment, minister, president ,OUTCOME??
Dr. Slaa: Member of parliament, Chadema secretary general OUTCOME socioeconomical improvement in karatu, Chadema now main opposition part)

6. Research and Presentations (Kikwete hakuna, Dr. Slaa research na presentantion ya masters and PHD)

7. Interests (kikwete?? Dr slaa??)

8. References

Kawaida waajiri watawaita candidates na kuwapiga interview wakikazia majukumu yaliyotangulia ya watahiniwa na matokeo ya majukumu yao. Haitoshi mtahiniwa kusema tu kuwa mimi nilikuwa waziri wa fedha, waajiri watakuwa interested kujua mafanikio na failures za uwaziri wake.

Wananchi wa Watanzania ndo waajiri wa Rais wa Tanzania na wanatangaza kazi hiyo kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka mitano. Wananchi wanapima majukumu ya wagombea waliyokuwa nayo na matokeo ya majukumu yao, watanzania walifurahishwa na utendaji wa Dr slaa bungeni vs. Kikwete ambaye alikuwa raisi na kumchagua Dr Slaa kuwa raisi mpya, lakini CCM na NEC walikuwa na ajenda ingine ya uchakachuaji na utumiaji nguvu za dola''. (End of reply post no. 59)

Mkuu MrDash1
Nimependa uchanganuzi (critical analysis) wa CV ya Mkulu wa Bangoi Vs Dr. Slaa.
 
kulinganisha CV ya bwana mkulu na Dr. Slaa (Phd) ni kutomtendea haki huyo Dr.
hatupima CV kwa kuangalia imeandikwaje (haijalishwi imeandikwa vizuri kiasi gani) bali matokeo mazuri ya yalioandikwa ama kazi uliyoifanya.
unaweza ukafanya kazi 2 ama 3 ukafanikiwa kwa kias kikubwa sana kuliko aliyefanya kazi tofauti tofauti 100. tulio wengi wetu ni wazuri sana kuandika lakini sio kutenda.
 
Mkuu wa upimaji wa CV kati SLAA na KIKWETE. kuna hiki kipande tusaidie kukipima ni muhimu.
The Family of nine children. He is married to Mama Salma kikwete and blessed with eight children
 
Mkuu wa upimaji wa CV kati SLAA na KIKWETE. kuna hiki kipande tusaidie kukipima ni muhimu.
The Family of nine children. He is married to Mama Salma kikwete and blessed with eight children


kama ni cv anayao dk salim ahmed salim wengine wote wanatuzingua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…