CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

ni mdogo wa Salma ameolew ana waarabu wao wanaokuja kila siku kuomba deal.........
 
Hapo yaonyesha urijali wa mwanaume, ww vp hata mmoja huna !!

Kilichomuweka madarakani ni ili kuleta maendeleo ya Mtanzania sio kuzaa, kumbe ile program ya NYOTA YA KIJANI ni kwa ambao sio marijali?Tunataka kuona nchi inasonga mbele kimaendeleo sio kuona mambo tofauti ebooo!:frusty:
 
Kilichomuweka madarakani ni ili kuleta maendeleo ya Mtanzania sio kuzaa, kumbe ile program ya NYOTA YA KIJANI ni kwa ambao sio marijali?Tunataka kuona nchi inasonga mbele kimaendeleo sio kuona mambo tofauti ebooo!:frusty:

Kumbe wa kuja angalia hii:
Join Date Wed Jan 2011 Posts 4 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
 
TO 1988-1990Deputy Minister for Energy and Minerals
FROM 1986-1988 Nachingwea and Masasi Districts (CCM) Secretary General
 
thats useless, jinsi alivyopambwa kwenye cv hiyo utasema ni wa maana, kumbe pumbafu tu, nchi imemshinda anakalia majungu tu na kuwakumbatia mafisadi.
 

kumbe ni kichaa ana tatizo huyu
 
Bado CV inaendelea;

wake wa nje..........
vimada............
hobi.............. (disco)
safari za nje..........
 
thats useless, jinsi alivyopambwa kwenye cv hiyo utasema ni wa maana, kumbe pumbafu tu, nchi imemshinda anakalia majungu tu na kuwakumbatia mafisadi.

you real made my day!!! ndiyo maana Prof Libumba alisema the chap is just good for publicity not presidency!!
 
Hapo yaonyesha urijali wa mwanaume, ww vp hata mmoja huna !!

Ndo nachakata na mama gaude wangu kupata kamoja..mitoto ikiwa mingi mnaanza kugombania remote ya tv mi staki mambo hayo
 
Wekeni basi ya Slaaa wakuu ili tupambanue


Profile ya Dr Slaa

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
 

kama hii cv kaiandaa mwenyewe rais wa kuchakachua basi ni kilaza,!!itawezekana vp 1988 alikuwa naibu waziri wa nishati na madini halafu anasema ubunge ameupata kuanzia mwaka 1990??ina maana kipindi hicho ulikuwa unaweza kupewa uwaziri bila kuwa mbunge?

siuelewi mpangilio wa hii resume,..ndo maana uchumi umebakwa!!!halafu mbona cv imejazwa mavyeo ya tanu na ccm?
 
Huyu jamaa kumbe alisoma degree ya uchumi91972-1975 B.A (Economics) University of Dar es Salaam) mbona siku ile ya mdaharo wa kuchakachua alisema hajui hesabu. Na kweli amedhibitisha uchumi hauwezi mimi hudhani kasoma political science.

Huyu jamaa hakuna anachokijua zaidi ya CCM na TANU maake CV imejaa CCM na TANU unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…