Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau naomba kujua CV ya Mh.Mbunge Ally Kessy wa Namanyere.Mbunge huyu uchangiaji wake Mjengoni nimekuwa Na wasiwasi nao kwani inawezekana hata ile Sifa yao ya Kusoma Na Kuandika itakuwa hana.
anajua kusoma na kuandika na kapigiwa kura na wananchiWadau naomba kujua CV ya Mh.Mbunge Ally Kessy wa Namanyere.Mbunge huyu uchangiaji wake Mjengoni nimekuwa Na wasiwasi nao kwani inawezekana hata ile Sifa yao ya Kusima Na Kuandika itakuwa hana.
Wadau naomba kujua CV ya Mh.Mbunge Ally Kessy wa Namanyere.Mbunge huyu uchangiaji wake Mjengoni nimekuwa Na wasiwasi nao kwani inawezekana hata ile Sifa yao ya Kusima Na Kuandika itakuwa hana.
Wabunge wengi wa CCM kutoka Tanzania bara linapokuja swala linalohusu Zanzibar huwa (i) waoga, (ii) wanafiki, (iii) au vyote kwa pamojaMimi huwa ananikosha sana anapochangia mambo yanayohusu Muungano.
Huwa anaqapiga za uso Wazanzibar. Huwanyoosha kweli kweli.
Wadau naomba kujua CV ya Mh.Mbunge Ally Kessy wa Namanyere.Mbunge huyu uchangiaji wake Mjengoni nimekuwa Na wasiwasi nao kwani inawezekana hata ile Sifa yao ya Kusoma Na Kuandika itakuwa hana.
Tuilinganishe na ya Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzan Bungeni kwa kuwa wote ni Viongozi.
Spika na Bunge lake naona wana tatizo kubwa-hivi kweli hii ni CV ya kuweka kwenye website ya bunge wakati inakosa details za kuweza kusaidia umma kuhusu taarifa za mbunge. Na siyo ya huyu tu ziko nyingi ambazo sio complete. Afadhali wasiweke CVs za mtu ambaye hayuko tayari kuweka taarifa kamili na sahihi. Site ya bunge ilitakiwa iwe an authoritative source ya taarifa za waheshimiwa. Katibu wa Bunge angeliangalia hili.
hujakosea hata kidogo.....ni Bashite!
hujakosea hata kidogo.....ni Bashite!
hivi kati ya bhakresa na lipumba nani anavyeti zaidi?Elimu Cheti ni Makaratasi. Elimu Dunia ni Ukweli na Uelewa ktk daily life.
Mbona haina Tofauti na Mbowe?
hujakosea hata kidogo.....ni Bashite!
Mbowe elimu ya sekondari anayo ila huyo Kessy hata chekechea hamna, kwa mujibu wa tovuti ya BungeMbona haina Tofauti na Mbowe?