ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Ujinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana
unaishi wapi mkuu?
Ujinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana
wakati wadau wanaisakua CV ya Kova,
moja kati ya hobies zake ni pamoja na KUPENDA KIOO, eeeh hadi baraaa!
Ujinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana
we mwehu kweli watu tumepona kufa unaleta ungese hapa njoo kagera kituo cha polisi wakusimulie kilichowapata
Dar wana uoga wa kike hakuna cha panya wala paka uzushi tu
fresh ya shamba mbona unatetea sana au we ndio kova mwenyewe
Ujinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana
kuna namba ya ya polisi ya dharura ambayo huwa tunaitumia kipindi cha dharura cha dharura kama kile kipindi cha noah nyeusi, au hivi vitoto vya mbwa na panya vinaposumbua.....binafsi huwa ni mtumiaji mkubwa wa hii namba lakini kila napo toa taarifa huwa naambiwa "taarifa tunazo tumeshatuma polisi na wamekuta ni uzushi mtupu....wakati kihalisia basi ngoja niiishie hapo...
mkuu punguza jazba! au unafahamiana na kova?Ujinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana