Kichankuli JF-Expert Member Joined Dec 18, 2008 Posts 887 Reaction score 191 Jan 12, 2011 #1 Bora siku hizi kuna haya mambo ya Ujasiriamali, jamani kuomba kazi kwa lugha isiyo yako kazi kweli , hebu soma hii cv ya huyu jamaa anayeomba kazi ya ulinzi alivyojitutumua kwenye ung'eng'e.
Bora siku hizi kuna haya mambo ya Ujasiriamali, jamani kuomba kazi kwa lugha isiyo yako kazi kweli , hebu soma hii cv ya huyu jamaa anayeomba kazi ya ulinzi alivyojitutumua kwenye ung'eng'e.
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,524 Jan 12, 2011 #2 Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza
Kichankuli JF-Expert Member Joined Dec 18, 2008 Posts 887 Reaction score 191 Jan 12, 2011 Thread starter #3 Bazazi said: Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza Click to expand... Laiti kama angepewa fursa ya kufanya presentation ya hiyo CV yake nadhani ingenoga zaidi na mwajiri asingalisita kumpatia hiyo ajira
Bazazi said: Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza Click to expand... Laiti kama angepewa fursa ya kufanya presentation ya hiyo CV yake nadhani ingenoga zaidi na mwajiri asingalisita kumpatia hiyo ajira
Omukuru JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 242 Reaction score 41 Jan 12, 2011 #4 Aaaaaaiseeeee nimecheka mpaka mbavu zinauma.
Kichankuli JF-Expert Member Joined Dec 18, 2008 Posts 887 Reaction score 191 Jan 13, 2011 Thread starter #5 Omukuru said: Aaaaaaiseeeee nimecheka mpaka mbavu zinauma. Click to expand... Kame zile hekanya za "kicheko huboresha afya na kuongeza muda wa maisha" ni za kweli natumai umenufaina na jekes hii kwa kiasi kikubwa.
Omukuru said: Aaaaaaiseeeee nimecheka mpaka mbavu zinauma. Click to expand... Kame zile hekanya za "kicheko huboresha afya na kuongeza muda wa maisha" ni za kweli natumai umenufaina na jekes hii kwa kiasi kikubwa.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,098 Jan 13, 2011 #6 Msisitizo huu nime u-love "remember english is not our mother land (tongue)"
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 13, 2011 #7 Mh!kweli mshikaji ana CV kali!!
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 Jan 13, 2011 #8 TUKUTUKU said: Mh!kweli mshikaji ana CV kali!! Click to expand... itabidi nami nidese hii cv, naweza nikapata kazi fasta.
TUKUTUKU said: Mh!kweli mshikaji ana CV kali!! Click to expand... itabidi nami nidese hii cv, naweza nikapata kazi fasta.
T Thadeus JF-Expert Member Joined Nov 24, 2007 Posts 272 Reaction score 50 Jan 13, 2011 #9 Bazazi said: Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza Click to expand... Na mwandiko nao alifeli?
Bazazi said: Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza Click to expand... Na mwandiko nao alifeli?