Cutting master

George Barran

JF-Expert Member
Sep 2, 2015
634
1,244
Niaje wadau viwana wenzangu naomba tupeane support kwenye utafutaji wa ridhiki zetu za kila siku mimi ni kinyozi nina uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kazi yangu naishi kigamboni, Dar es salaam

Natoa huduma ya kunyoa kwa upande wa kike na kiume staili ya aina yeyote atakayopendekeza mteja na ata kutoa ushauri kutokana na kichwa chake

Natoa huduma ya kumfuata mteja popote halipo ndani ya Dar es salaam kazi itafanywa kwa maelewano.
Mawasiliano 0784440627

Ahsanteni.
IMG_20210514_111742.jpg
 
Ahsanteni. View attachment 1819759
Huyu ni manz au 😅😅😅
 
Back
Top Bottom